Engine ipi ni bora kwa malori au mabasi

Engine ipi ni bora kwa malori au mabasi

Engine bora kwa Malori na Mabasi ni Man Diesel,Mercedes Benz, Nissan Diesel UD, Isuzu FVR, Weichai Cummins shamba la bibi
 
Sijawahi ziona.

zilikuwepo sana
IMG_8298.jpg

ile mibasi ya kuchonga iliyochongoka mbele kama akina summry enzi hizo ilikuwa ni Nissan UD sikuhizi sio nyingi sana Labda huko kenya ndio wanahusudu sana Nissan
IMG_8297.jpg
 
Ukinzungumizia gari ZENYE injini Bora basi scania na benzi ni baba lao

Scania
Benzi
Across
How
Faw
Man
Daf

Kuna Hizi Chuma wanaziita freightliner na international ukifunga jiko unasahau kama ulifunga jiko ni Chuma haswa Huyo scania asubiri ila kibongo bongo scania babalao
 
WANASEMA MAN NA NISSAN UD ENGINE MKATABA
 
Ukinzungumizia gari ZENYE injini Bora basi scania na benzi ni baba lao

Scania
Benzi
Across
How
Faw
Man
Daf

Kuna Hizi Chuma wanaziita freightliner na international ukifunga jiko unasahau kama ulifunga jiko ni Chuma haswa Huyo scania asubiri ila kibongo bongo scania babalao
Freightliner wanatumia CATERPILLAR, CUMMINS na DETROIT.

sasa ni ipi hapo ukifunga inakuwa mkataba?
 
Back
Top Bottom