Ndugu wapendwa naomba msaada kwa mwenye kuelewa tatizo Nina gari yangu aina ya Premio old model aina ya engine ni 4A. Tatizo la engine yangu nikifanya service ya kumwaga oil nayo iweka inaisha mapema mpaka gari inaonesha alama ya check engine lakini unakuta gari umbali ambao limetembea ata 1000KM unakuta hazijafika.
Naomba msaada tatizo laweza kuwa nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msaada tatizo laweza kuwa nn?
Sent using Jamii Forums mobile app