Wanajamvi, tafadhali naomba kuuliza engine za Verossa VVTi , bila magumashi Dar hii ntapata wapi!? Yangu imezingua na nataka niipige chini iliyopo Ili ni exchange gari nyingine,
Je Bei zake zipoje kwa Sasa engine za Toyota Verossa VVTi
Thanks, ni beam 2000, GX 100Nadhani hii engine yake ni beams200 kama ya gx100 au 110. Bila shaka itakuwa kati ya 1m - 1.5m.