Engine ndogo

Engine ndogo

roja24

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
634
Reaction score
410
Wanajamvi, tafadhali naomba kuuliza engine za Verossa VVTi , bila magumashi Dar hii ntapata wapi!? Yangu imezingua na nataka niipige chini iliyopo Ili ni exchange gari nyingine,
Je Bei zake zipoje kwa Sasa engine za Toyota Verossa VVTi
 
Nadhani hii engine yake ni beams200 kama ya gx100 au 110. Bila shaka itakuwa kati ya 1m - 1.5m.
 
Thanks, ni beam 2000, GX 100
Ila Bado swali la pili ...Ni wapi ntapata kwa uaninifu na uhakika hasa uzima , ukiacha kudakana dakana ilala pale
 
Wanajamvi, tafadhali naomba kuuliza engine za Verossa VVTi , bila magumashi Dar hii ntapata wapi!? Yangu imezingua na nataka niipige chini iliyopo Ili ni exchange gari nyingine,
Je Bei zake zipoje kwa Sasa engine za Toyota Verossa VVTi

Verosa ya Engine gani?

Engine zote za Verossa ni Vvti...
 
Kama ukitaka ya Japan moja kwa moja, check with us!
 
Back
Top Bottom