Engine oil (almost yote) kuingia kwenye air intake. Nini kifanyike kabla ya kuiwasha engene?

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Gari imepinduka upside down. Baada ya dakika 10 hivi, gari ikanyanyuliwa ikakalia miguu sawa.

Kupima oil, dipstick ikasoma very low (under 'L').

So oil (almost yote) imepotea haimo kwenye sempo! Sempo yenyewe ni nzima.

Kufungua box la air filter, imeonekana air filter imelowa/imeshiba oil hadi inaitema!

Nini sahihi kifanyike kabla ya kuiwasha engene? Ili kuzuia damage kwenye engene.

Chombo ni Toyota ist old model.
 
Fanya usafi tu sehemu zote oil ilipopita hadi kwenye air cleaner.
 
Gari imepinduka upside down. Baada ya dakika 10 hivi, gari ikanyanyuliwa ikakalia miguu sawa.

Kupima oil, dipstick ikasoma very low (under 'L').

So oil (almost yote) imepotea haimo kwenye sempo! Sempo yenyewe ni nzima.

Kufungua box la air filter, imeonekana air filter imelowa/imeshiba oil hadi inaitema!

Nini sahihi kifanyike kabla ya kuiwasha engene? Ili kuzuia damage kwenye engene.

Chombo ni Toyota ist old model.
Ni gari aina gani ?
 
Hapo oil hajamwagika, Wala leakage yoyote. Oil nyingi imeingia Kwenye oil filter na kwenye njia nyingine katika injini.

Hapo ukipima Kwa dip stick utopata kiasi sahihi, ukiacha gari itashuka yenyewe Kwa kiasi na ya Kwenye filter itabaki vile vile.

Hapo iwashe gari Kisha iache silence Kwa dakika 3 mpaka 5. Ukipima Tena utapata jibu tofauti itakuwa imeongezeka. Kwa gari hizi za wet oil sump oil yote itarudi chini.
 
Ahsante mkuu for your inputs.

Yes air filter imelowa oil chapachapa. Is it possible air filter pekee ikameza/ikafyonza almost Lita 3 zote za oil? Mlowano wake ni wa kawaida (ule wa kushiba kimiminika).

Tumedisconnect ile air filter box yote, ile pipe ya air intake (to the engine) inavuja matone ya oil pia.

Gari haijawashwa. Ukiweka ufunguo kwenye switch ON, taa ya engene oil inadimua dimua.

Leo ni siku ya pili gari imekalia miguu sawa lakini dipstick ya oil bado inasoma chini ya 'LOW'.
 
Mkuu Boeing 747 , pitia hapa
Pole sana mkuu kwa majanga...
Hapo nikushauri, vuta hiyo gari mpaka garage..

Fundi afungue air intake manifold, aisafishe kwa fluid yoyote inayweza kuyeyusha oil na kuevaporate hataka...anaweza kutumia cab cleaner au hata tina iwe ile high gloss(sijajua kama nimmekosea spelling)...akikosa kabisa anaweza kutumia petrol au mafuta ya taa kibishi..

MAF sensor isafishwe vizuri...hii isafishwe kwa kutumia fluids za kusafisha sakiti za vitu vya electronic.

Jumba la air filter nalo lisafishwe vizuri..

Air filter, nunua tu mpya...

Hapo lazima kuna kiasi kidogo cha oil kitakuwa kilifika kwenye intake valves, hii ukiwasha gari itaungua iishe...

So ukiwasha kwa mara ya kwanza ukiona moshi mwingi wa blue utakaodumu kati ya dak 1 mpaka dk 2, usiogope.

Mwisho, ongeza oil ifikie level inayotakiwa.

Kila laheri chief
 
Mkuu, thanks a lot for your technical advice. Nimekupata vyema sanaa. cheers
 
Pole sanaa mkuu siwez kushauri endesha ilo gari fanya lisogee kwa kuvutwa den ungefanya vapour cleaning ya io engine bay b4 yote aftr hapo fatilia kama kuna an u linkage ukiwa sure kila kitu kiko sawa waweza washa for testing not driving nxt only testing kuona how itabehave
 
Back
Top Bottom