Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ulikuwa unafanya nini hadi kupindua hiko kigari pendwa! Hizo sio supercars wazee ni urban cruisers tu zingatieni mwendo aisee😅😅😅! Kila siku tunawasema humu hamsikii! IST ina short chassis ukiikimbia ovyo kwenye corner lazma ibidukeGari imepinduka upside down. Baada ya dakika 10 hivi, gari ikanyanyuliwa ikakalia miguu sawa.
Kupima oil, dipstick ikasoma very low (under 'L').
So oil (almost yote) imepotea haimo kwenye sempo! Sempo yenyewe ni nzima.
Kufungua box la air filter, imeonekana air filter imelowa/imeshiba oil hadi inaitema!
Nini sahihi kifanyike kabla ya kuiwasha engene? Ili kuzuia damage kwenye engene.
Chombo ni Toyota ist old model.
Toa filter safisha ile container yake kisha weka mpya hakikisha na throttle body waisafishe upya njia iwe safi.