Engine oil (almost yote) kuingia kwenye air intake. Nini kifanyike kabla ya kuiwasha engene?

Ulikuwa unafanya nini hadi kupindua hiko kigari pendwa! Hizo sio supercars wazee ni urban cruisers tu zingatieni mwendo aisee😅😅😅! Kila siku tunawasema humu hamsikii! IST ina short chassis ukiikimbia ovyo kwenye corner lazma ibiduke

Toa filter safisha ile container yake kisha weka mpya hakikisha na throttle body waisafishe upya njia iwe safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…