Hata mie natumiaga hio,lakeoil, au Caltex 20w50! Kigari changu chakavu kiko mbele kidogo ya SAE40! Enzi zile TID anatoa zeze ndio kilikuwa kinatoka TOYOPET.
Wenye vyombo vya 2008 na kuendelea ndio watumie synthetic oils zile 5w30 au 10w30 wapasuliwe huko 60k and above hapo bado filter.