Engine oil ipi nzuri?

Engine oil ipi nzuri?

Hata mie natumiaga hio,lakeoil, au Caltex 20w50! Kigari changu chakavu kiko mbele kidogo ya SAE40! Enzi zile TID anatoa zeze ndio kilikuwa kinatoka TOYOPET.

Wenye vyombo vya 2008 na kuendelea ndio watumie synthetic oils zile 5w30 au 10w30 wapasuliwe huko 60k and above hapo bado filter.
Na hio 60k ni Mineral sio synthetic.
 
Wakuu kuna mdau anadai hata "air cleaner" inaweza sababisha gari iwe nzito kuchanganya. Nlitoa iliyokuja na gari ilikuwa imetoboka nikaweka hizi za kichina za kariakoo, aina ya gari ni kluger.
 
Back
Top Bottom