Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Mkuu sio mimi ni jamaa yangu, na nilimuuliza ameweka engine oil gani akasema hakumbuki, yeye alienda dukani akanunua Total engine oil,ndo kitu pekee anachokumbukaUmetumia engine oil ya Aina gani? Ungepiga picha ili tuone.
kuna dada mmoja jirani Yangu ana vitz namba DW lakini mpaka Leo hii inanguruma kama Isuzu mbaula kwasabb ya kuweka engine isiyoendana na engine
Ameweka engine Oil gani isije kuwa 20W 50 halafu ya bei rahisi.Wakuu msaada tafadhali
Jamaa anamiliki Subaru forester ya 2008...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kama mbaulaUmetumia engine oil ya Aina gani? Ungepiga picha ili tuone.
kuna dada mmoja jirani Yangu ana vitz namba DW lakini mpaka Leo hii inanguruma kama Isuzu mbaula kwasabb ya kuweka engine isiyoendana na engine
Hapo tumia 5W-30 Conventional oil (sio 5W-30 Synthetic Oil).
Pale kwenye dumu tafuta neno Conventional na sio Synthetic.
Hii ndio natumia kwenye escudo masawe..vp inatatizo gani hii oil?Ameweka engine Oil gani isije kuwa 20W 50 halafu ya bei rahisi....
😅😅😅😅😅😅 ameweka sae 40 nnUmetumia engine oil ya Aina gani? Ungepiga picha ili tuone.
kuna dada mmoja jirani Yangu ana vitz namba DW lakini mpaka Leo hii inanguruma kama Isuzu mbaula kwasabb ya kuweka engine isiyoendana na engine
Haina tatizo kabisa ni nzuri kwa gari zetu za 3rd na 4th Hands!😅Hii ndio natumia kwenye escudo masawe..vp inatatizo gani hii oil?
Anatakiwa atumie synthetic oil 5w20,10w30, 5w30 au 10w30Wakuu msaada tafadhali
Jamaa anamiliki Subaru forester ya 2008...
Conventional oil( mineral oil) ni oil inayotengenezwa kutokana na malighafi yaliyochakatwa baada ya kumalizika kutoa mafuta ya petrol, diesel na mafuta ya taa kwa hiyo Yale makapi yanayobaki ndio yanatumika kutengeneza oil kiufupi ji oil zinazopatikana baada ya kuwa mafuta yamezalishwa yote na mfano wa oil hizi ni sae40,Mkuu kwanini Coversional na sio Synthetic?
Ntashukuru pia nikijua utofauti wa hivi vitu viwili
Huyu jamaa amemaliza kilakituConventional oil( mineral oil) ni oil inayotengenezwa kutokana na malighafi yaliyochakatwa baada ya kumalizika kutoa mafuta ya petrol, diesel na mafuta ya taa kwa hiyo Yale makapi yanayobaki ndio yanatumika kutengeneza oil kiufupi ji oil zinazopatikana baada ya kuwa mafuta yamezalishwa yote na mfano wa oil hizi ni sae40, 20w50 lakini synthetic oil hii ni man made oil kwa sababu inapatikana baada ya kutengenezwa maabara kwa kutumia michanganyiko ya material mbali mbali na mfano wake ni oil zote zenye no 2 mfano 5w30, 5w40 10w40 etc
+255719263074
Hapo tumia 5W-30 Conventional oil (sio 5W-30 Synthetic Oil).
Pale kwenye dumu tafuta neno Conventional na sio Synthetic.
Mkuu kwanini Coversional na sio Synthetic?
Ntashukuru pia nikijua utofauti wa hivi vitu viwili
Anatakiwa atumie synthetic oil 5w20,10w30, 5w30 au 10w30
+255719263074 kwa ushauri na upatikanaji wa vilainishi
Hapa nimechanganyikiwa kabisa..... Can somebody help me Please🤣😂Conventional oil( mineral oil) ni oil inayotengenezwa kutokana na malighafi yaliyochakatwa baada ya kumalizika kutoa mafuta ya petrol, diesel na mafuta ya taa kwa hiyo Yale makapi yanayobaki ndio yanatumika kutengeneza oil kiufupi ji oil zinazopatikana baada ya kuwa mafuta yamezalishwa yote na mfano wa oil hizi ni sae40, 20w50 lakini synthetic oil hii ni man made oil kwa sababu inapatikana baada ya kutengenezwa maabara kwa kutumia michanganyiko ya material mbali mbali na mfano wake ni oil zote zenye no 2 mfano 5w30, 5w40 10w40 etc
+255719263074
Hehehehee hizi gari hazina mambo mengi...Haina tatizo kabisa ni nzuri kwa gari zetu za 3rd na 4th Hands!😅
+255719263074 WhatsApp inaweza kusaidia kuelewa hata kwa voice noteHapa nimechanganyikiwa kabisa..... Can somebody help me Please[emoji1787][emoji23]
Kwa lugha nyepesi ya darasa la pili D ni kwamba Conventional ni oil ambayo content au ingredients zake ni natural yaani zile vitu wamechukua huko ardhini wakati wanachota mafuta.Mkuu kwanini Coversional na sio Synthetic?
Ntashukuru pia nikijua utofauti wa hivi vitu viwili
Nini kimekuchanganya?!Hapa nimechanganyikiwa kabisa..... Can somebody help me Please[emoji1787][emoji23]
Mkuu sorry kama nitakuwa nakukosea heshima ila hizo namba zingine umetaja hapo sio recommend standard za hii gari. Na ukiweka si kwamba gari haitawaka ila utaisaidia katika process ya kuichosha engine na kuanza kusugulisha vyuma na changamoto zingine katika engine.Conventional oil( mineral oil) ni oil inayotengenezwa kutokana na malighafi yaliyochakatwa baada ya kumalizika kutoa mafuta ya petrol, diesel na mafuta ya taa kwa hiyo Yale makapi yanayobaki ndio yanatumika kutengeneza oil kiufupi ji oil zinazopatikana baada ya kuwa mafuta yamezalishwa yote na mfano wa oil hizi ni sae40...