Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Wakuu msaada tafadhali
Jamaa anamiliki Subaru forester ya 2008
Kabadili engine oil juzi tu,ila gari imeanza kutoa mlio kama wa Scania
Hapa ananiuliza shida itakua ni nini, kwavile mie sio fundi nikasema ngoja nililete mezani humu maana kwa akili yangu ndogo nadhani aliweka engine oil ambayo sio ya gari husika
Kwaiyo naomba kuuliza ni engine oil ipi inafaa kwa Subaru forester 2008 ?