Wakuu habari zeni, 'nina gari yangu coster nimeifanyia engine overhull
Nimebadilisha sleave, piston, na gasket head
Ikaingia barabarani, tatizo limezuka kama wiki tu baada matengenezo, gari ikenda kilomiter 20 tu, engine hupta moto sana, ikufungua mfuniko wa rejeter, maji yana mwagika kidogo, lakini sio sana, ukiangalia tempreture haimpandi, je wakuu hili tatizo nilitatue vipi?
Kwa kweli joto lake sio la kawaida, nime check pump ya maji ipo sawa, na nimesafisha rejeta hali ndo ile ile na hakuna maji yanayo vuja sehemu, kichwa kina uma hapa
Wakuu naomba msaadanaogopa nisije nikauwa engine kwa hili joto linalokuja, asanteni,