Engine ya gari yangu inapata moto

Engine ya gari yangu inapata moto

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
Wakuu habari zeni, 'nina gari yangu coster nimeifanyia engine overhull

Nimebadilisha sleave, piston, na gasket head

Ikaingia barabarani, tatizo limezuka kama wiki tu baada matengenezo, gari ikenda kilomiter 20 tu, engine hupta moto sana, ikufungua mfuniko wa rejeter, maji yana mwagika kidogo, lakini sio sana, ukiangalia tempreture haimpandi, je wakuu hili tatizo nilitatue vipi?

Kwa kweli joto lake sio la kawaida, nime check pump ya maji ipo sawa, na nimesafisha rejeta hali ndo ile ile na hakuna maji yanayo vuja sehemu, kichwa kina uma hapa

Wakuu naomba msaadanaogopa nisije nikauwa engine kwa hili joto linalokuja, asanteni,
 
kwa uelewa wangu joto linatokana na kubadili piston, rings pamoja na hizo sleeves .... kwani bado engine inakuwa kwenye breaking in maana kwa sleeve, poston na rings mpya ni lazima itokee friction kubwa ili ziweze kuwa aligned correctly
 
Wakuu habari zeni, 'nina gari yangu coster nimeifanyia engine overhull

Nimebadilisha sleave, piston, na gasket head

Ikaingia barabarani, tatizo limezuka kama wiki tu baada matengenezo, gari ikenda kilomiter 20 tu, engine hupta moto sana, ikufungua mfuniko wa rejeter, maji yana mwagika kidogo, lakini sio sana, ukiangalia tempreture haimpandi, je wakuu hili tatizo nilitatue vipi?

Kwa kweli joto lake sio la kawaida, nime check pump ya maji ipo sawa, na nimesafisha rejeta hali ndo ile ile na hakuna maji yanayo vuja sehemu, kichwa kina uma hapa

Wakuu naomba msaadanaogopa nisije nikauwa engine kwa hili joto linalokuja, asanteni,
Pole mkuu.
Jaribu kubadili mfuniko w Rejeta uweke mpyaaa au tafuta kwenye gari ingine ujaribu maaana mfuniko wa Rejeta ni kitu kidogo lkn ni balaaa kwa shida zake
 
Wakuu habari zeni, 'nina gari yangu coster nimeifanyia engine overhull

Nimebadilisha sleave, piston, na gasket head

Ikaingia barabarani, tatizo limezuka kama wiki tu baada matengenezo, gari ikenda kilomiter 20 tu, engine hupta moto sana, ikufungua mfuniko wa rejeter, maji yana mwagika kidogo, lakini sio sana, ukiangalia tempreture haimpandi, je wakuu hili tatizo nilitatue vipi?

Kwa kweli joto lake sio la kawaida, nime check pump ya maji ipo sawa, na nimesafisha rejeta hali ndo ile ile na hakuna maji yanayo vuja sehemu, kichwa kina uma hapa

Wakuu naomba msaadanaogopa nisije nikauwa engine kwa hili joto linalokuja, asanteni,
Majibu # 3 na # 5 (fanyia kazi) ndio sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari zeni, 'nina gari yangu coster nimeifanyia engine overhull

Nimebadilisha sleave, piston, na gasket head

Ikaingia barabarani, tatizo limezuka kama wiki tu baada matengenezo, gari ikenda kilomiter 20 tu, engine hupta moto sana, ikufungua mfuniko wa rejeter, maji yana mwagika kidogo, lakini sio sana, ukiangalia tempreture haimpandi, je wakuu hili tatizo nilitatue vipi?

Kwa kweli joto lake sio la kawaida, nime check pump ya maji ipo sawa, na nimesafisha rejeta hali ndo ile ile na hakuna maji yanayo vuja sehemu, kichwa kina uma hapa

Wakuu naomba msaadanaogopa nisije nikauwa engine kwa hili joto linalokuja, asanteni,

Hemu wakague namna wamerudishia, maana kuna wakati nilifanya overall ikawa ina heat nikasumbuka, kumbe hawa kurudisha power cable ya feni!

Halafu, Hilo sio tatizo lako Ni la hao mafundi, wanapaswa ku fix, swala la Gari ku overheat Laweza kututesa Sana usipolishughulikia kijanja.
 
Back
Top Bottom