Engine ya Toyota Landcruiser ya 1HZ inahitajika

Engine ya Toyota Landcruiser ya 1HZ inahitajika

Mawio

Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
54
Reaction score
23
Wakuu, salaam!!!..

Ninahitaji engine ya Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri.

Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790

Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania.

Shukrani.
 
Umeshapata engine

Bado mapambano yanaendelea Mkuu Sirajj Johnn, jana nilipata moja ya Millioni 3.5 ikawa nje ya budget yangu, nategemea nitapata ya 2.5 soon.

Tuendelee kuombeana uzima Mkuu.

Shukrani.

~Mawio 🙂🙂!!!..
 
OK kwa Zanzibar ikipatikana kwa bei hiyo 2.5 unaweza gharamia bei ya usafirishaji
 
OK kwa Zanzibar ikipatikana kwa bei hiyo 2.5 unaweza gharamia bei ya usafirishaji

Unaweza kuwa na makadirio ghafi ya gharama za usafirishaji Mkuu au niulizie?!!..

Shukrani,

~Mawio 🙁🙁!!!...
 
OK unaweza kuulizia maana sijawahi kusafirisha engine kutoka huku huwa nasfirsha Magari tu na mie pia nitaulizia
 
OK unaweza kuulizia maana sijawahi kusafirisha engine kutoka huku huwa nasfirsha Magari tu na mie pia nitaulizia

Shukrani Mkuu Sirajj Johnn.

Tuendelee kuwasiliana ndugu yangu.

Shukrani,

~Mawio 🙂🙂!!!..
 
Huu uzi nimeupenda, nami nina huitaji was Engine 5L, naweza ipata kwa being gani wakuu?
 
Huu uzi nimeupenda, nami nina huitaji was Engine 5L, naweza ipata kwa being gani wakuu?

Mkuu Kyata!!!..

Heshima mbele.

Tumsubiri Mkuu Sirajj Johnn najua atakuja na taarifa zaidi kuhusu hilo.

Pia wakuu wengine ambao hilo ndilo eneo lao la kazi ndugu yangu.

Natanguliza shukrani.

~Mawio 🙂🙂!!!...
 
Labda kahisi unataka gari zima sio engine

Ha ha ha ha ha ha ha!!!..

Mkuu Extra miles, heshima mbele ndugu yangu.

Hapa nimeona umuhimu wa miwani na kile ki-tufe cha "Preview" kabla huja-post na kila mara unapopitia uzi wako Mkuu.

Tuko pamoja, nishafanya masahihisho stahiki kwenye bandiko husika.

Nikutakie kila la kheri unavyofunga mwaka na unavyoingia mwaka 2019.

Natanguliza shukrani nyingi.

¬Mawio 🙂🙂!!!..
 
Ineyetaka 1kz tuwasiliane

Mkuu Sexer.

Kuna mwenye uhitaji wa 1Kz atakutafuta tu kama sio leo basi kesho.

Akhsante kwa taarifa.

Tuko pamoja Mkuu.

Shukrani,

¬Mawio 🙂🙂!!!...
 
Kichwa cha habari na kilichomo ndani ni vitu viwili tofauti....

Mkuu BlackPanther.

Heshima mbele.

Kwa maana ipi, hutajali kutufafanulia kidogo labda kuna kitu tume-miss ukawa umetusaidia.

Shukrani Mkuu.

¬Mawio 🙂🙂!!!..
 
Mkuu BlackPanther.

Heshima mbele.

Kwa maana ipi, hutajali kutufafanulia kidogo labda kuna kitu tume-miss ukawa umetusaidia.

Shukrani Mkuu.

¬Mawio 🙂🙂!!!..

Haina shida kamanda...naona tayaru usharekebisha.
 
Back
Top Bottom