PostGE2025 Engineer Charles Werema adaiwa kutekwa 12/11/2025, muda wa saa 7 mchana ofisini kwake Madale

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Tumepokea taarifa za kutekwa kwa mwenyekiti wetu wa tawi la Madale na mgombea udiwani wa kata ya Wazo 2020, Jimbo la Kawe Eng. Charles Werema._

Taarifa tulizopewa zinasema Eng. Werema ametekwa leo tarehe 12/11/2025, muda wa saa 7 mchana ofisini kwake Madale. Habari zinasema kuna watu walifika ofisini kwake na wakajitambulisha kuwa ni polisi, wakaondoka naye.

Mpaka sasa familia wameshazunguka vituo kadhaa vya polisi kama Mbweni, Mabwepande, Madale na Oysterbay ambako kote wameambiwa hayupo.

Screenshot 2025-11-12 224137.png
 
View attachment 3500849
Hao wanaojiita polisi wanakuwa na warrant of arrest? If not, wananchi wanaruhusuje mtu kuchukuliwa kienyeji?
 
Tumepokea taarifa za kutekwa kwa mwenyekiti wetu wa tawi la Madale na mgombea udiwani wa kata ya Wazo 2020, Jimbo la Kawe Eng. Charles Werema._

Taarifa tulizopewa zinasema Eng. Werema ametekwa leo tarehe 12/11/2025, muda wa saa 7 mchana ofisini kwake Madale. Habari zinasema kuna watu walifika ofisini kwake na wakajitambulisha kuwa ni polisi, wakaondoka naye.

Mpaka sasa familia wameshazunguka vituo kadhaa vya polisi kama Mbweni, Mabwepande, Madale na Oysterbay ambako kote wameambiwa hayupo.

View attachment 3500849
Ikiwa kweli unataka WanaJamii Forums watoe mawazo yao juu ya hili suala. Unapaswa kusema ni wa chama gani.
 
Back
Top Bottom