Engineer Hersi anafanya uongozi wa soccer uwe mgumu

Mabadiliko yapi ?
 
Hapo kwenye kuiga mazuri yake ndipo panamchanganya sana Kajula CEO wa Simba maana anakosa uhuru alionao Hersi
 
Yule dogo kwel alikua fala..halaf inawezekana ndio alikua nuksi pale
 
Focus ya Mo Dewji, sio mpira ni biashara zake kupitia jina la Simba bila kutoa jasho.

Siku atakayoweka 20b kwenye akaunti ya Simba umakini utarejea.
Hii hela atacheza cheza na hata itoa kimsingi Mo Kila akitaka kuweka hiyo hela ni anaona kama Kuna watu wamekaa TU na yeye anawapa 20 b wale wakati nae anaona ana haki ya kuzila si shamba la bwana kheri...
 
Hebu fikiria kiongozi anaenda kimchukua Manzoki kuwa hadaa wapiga kura alafu utegemee aje alete mageuzi kwenye soka. Kwakweli mm ni msimbazi lakini Kwa aina ya uongozi wa injinia Simba itateseka Sana kama haitaacha viongozi wababaishaji
Shida ni wanasimba kuhadaika hivi kweli mtu mzima unajua mpira na kadi unalipia unaweza kudanganyika kirahisi namna hiyo!?
 
Niko kwa Joshua, uko, uko wapi
 
Chezaji gani lile Chogoless?
 
Ila bado timu haijaimarika vya kutosha. Juzi kwenye ushindi wa goli 5 kulikuwa na makosa mengi sana ya kiufundi yaliyochangia uchache wa magoli. Eng Hersi ahakikishe timu kupitia kocha inaondoa makosa yaliyojitokeza ili kwenye mzunguko wa pili tupate magoli mengi zaidi dhidi ya Simba.
 
Uko sahihi team bado Inahitaji kuimarika kufikia viwango vya top 3 za afrika ila ukiangalia namna alivyoanza hadi hapa alipo unaona progress Kila mwaka jamaa hakosei anaona changamoto iliyopo anaifanyia kazi hata swala la striker matata najua analiona na huenda tayari ameshamuona mtu ni suala la mda tu atatua striker lethal pale Jangwani
 
Tulifungwa na ihefu hakuna aliyelalamikia uongozi kwani wanaimani nao, upande wapili wajifunze hakuna haja ya kutafuta mchawi nikujipanga nasio kisajili kwa mihemko
Kwa Sasa hata Yanga ikifungwa utasikia mashabiki wanakupa majibu ya utulivu kwelikweli bila hofu
Kumbuka hata zile mbili wengi walijua kabisa kuwa tumewadanganya Rivers ili wasijiimarishe maana walitegemea Ile mechi kutusoma
Kuja kwenye ngao ya Hisani watu walitulia wakasema bado tuna Imani na team nasikia hata kwenye kikao kazi Cha Simba Mangungu alisema mbona yanga wanapitia changamoto za kufungwa lakini hawavurugani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…