Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabadiliko yapi ?Ni Kweli kabisa na wenye Akili kubwa na Timamu watakuelewa
Engineer Hersi ameleta Mageuzi na Mabadiliko chanya kwenye soka ambayo hayajawahi kuwepo kwa miaka mingi sana
Sio tu kwa hapa Tanzania bali mpaka Afrika Mashariki na kati na amekuwa Tishio kwenye klabu zote kubwa Afrika
Sasa Yanga imekuwa ni Timu ya kupiga timu ndogo ndogo magoli matano na timu kubwa magoli machache
Mungu amtunze huyu Mhandisi Fundi.
Hapo kwenye kuiga mazuri yake ndipo panamchanganya sana Kajula CEO wa Simba maana anakosa uhuru alionao HersiKila mtu ana njia sahihi kipawa ambacho MUNGU amempa au amemjalia...kwa sasa Yanga tuna kiongozi ambae ni dira na kioo kizuri katika mambo mengi tu ndani na nje ya uwanja
Hivyo viongozi wengine wasijicompare na yeye ....bali waige yale yaliyo mazuri tu na kuyatilia maanani.
Yule dogo kwel alikua fala..halaf inawezekana ndio alikua nuksi paleTukiacha Usimba na Uyanga injinia Hersi ndio mtu sahihi kuongoza Soka letu i mean Rais wa TFF mwamba anaifahamu leadership nikikumbuka kuna chezaji na genge lake flan walisema mpaka Injinia aondoke Yanga eti ndo atarudi naishia kucheka[emoji1][emoji1][emoji1]
Hii hela atacheza cheza na hata itoa kimsingi Mo Kila akitaka kuweka hiyo hela ni anaona kama Kuna watu wamekaa TU na yeye anawapa 20 b wale wakati nae anaona ana haki ya kuzila si shamba la bwana kheri...Focus ya Mo Dewji, sio mpira ni biashara zake kupitia jina la Simba bila kutoa jasho.
Siku atakayoweka 20b kwenye akaunti ya Simba umakini utarejea.
Shida ni wanasimba kuhadaika hivi kweli mtu mzima unajua mpira na kadi unalipia unaweza kudanganyika kirahisi namna hiyo!?Hebu fikiria kiongozi anaenda kimchukua Manzoki kuwa hadaa wapiga kura alafu utegemee aje alete mageuzi kwenye soka. Kwakweli mm ni msimbazi lakini Kwa aina ya uongozi wa injinia Simba itateseka Sana kama haitaacha viongozi wababaishaji
Niko kwa Joshua, uko, uko wapiTukiacha Usimba na Uyanga injinia Hersi ndio mtu sahihi kuongoza Soka letu i mean Rais wa TFF mwamba anaifahamu leadership nikikumbuka kuna chezaji na genge lake flan walisema mpaka Injinia aondoke Yanga eti ndo atarudi naishia kucheka[emoji1][emoji1][emoji1]
Chezaji gani lile Chogoless?Tukiacha Usimba na Uyanga injinia Hersi ndio mtu sahihi kuongoza Soka letu i mean Rais wa TFF mwamba anaifahamu leadership nikikumbuka kuna chezaji na genge lake flan walisema mpaka Injinia aondoke Yanga eti ndo atarudi naishia kucheka[emoji1][emoji1][emoji1]
Huyu try again ni nani?na try
Uko sahihi team bado Inahitaji kuimarika kufikia viwango vya top 3 za afrika ila ukiangalia namna alivyoanza hadi hapa alipo unaona progress Kila mwaka jamaa hakosei anaona changamoto iliyopo anaifanyia kazi hata swala la striker matata najua analiona na huenda tayari ameshamuona mtu ni suala la mda tu atatua striker lethal pale JangwaniIla bado timu haijaimarika vya kutosha. Juzi kwenye ushindi wa goli 5 kulikuwa na makosa mengi sana ya kiufundi yaliyochangia uchache wa magoli. Eng Hersi ahakikishe timu kupitia kocha inaondoa makosa yaliyojitokeza ili kwenye mzunguko wa pili tupate magoli mengi zaidi dhidi ya Simba.
Kwa Sasa hata Yanga ikifungwa utasikia mashabiki wanakupa majibu ya utulivu kwelikweli bila hofuTulifungwa na ihefu hakuna aliyelalamikia uongozi kwani wanaimani nao, upande wapili wajifunze hakuna haja ya kutafuta mchawi nikujipanga nasio kisajili kwa mihemko