uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
- Thread starter
-
- #61
Simba ilitawala sababu yanga haikuwa na udhamini Wala ufadhili unaoeleweka Simba inayumba ili hali Ina Kila kituMafanikio mnayopigia kelele kuna timu ilichukua makombe karibu yote kwa misimu minne mfululizo mbona hata hajayafikia?
Hersi anapita kwenye script ya Barbra tu hana creativity yoyote.
Wanachokifanya Yanga kwa sasa ni hicho hicho walivyokuwa wakifanya Simba misimu sita iliyopita.
Wachezaji expensive kama
Inonga Che Fondo Baleke Manula Mzamiru n.k
Yanga Ile hadi Simba anatawala soccer letu ilikuwa ya kina Shikalo Molinga Yekpe na wengine wengi TU ambao hawakuwa na quality ya kuchukua kombe ndio maana wakati huo tulikuwa tunapambana kupata fedha na ufadhiri kuliko kupata kombe SASA TUMEJIPATA KAZI MNAYO NA MTALIA SANA