Engineer Hersi anafanya uongozi wa soccer uwe mgumu

Mafanikio mnayopigia kelele kuna timu ilichukua makombe karibu yote kwa misimu minne mfululizo mbona hata hajayafikia?

Hersi anapita kwenye script ya Barbra tu hana creativity yoyote.

Wanachokifanya Yanga kwa sasa ni hicho hicho walivyokuwa wakifanya Simba misimu sita iliyopita.
Simba ilitawala sababu yanga haikuwa na udhamini Wala ufadhili unaoeleweka Simba inayumba ili hali Ina Kila kitu
Wachezaji expensive kama
Inonga Che Fondo Baleke Manula Mzamiru n.k
Yanga Ile hadi Simba anatawala soccer letu ilikuwa ya kina Shikalo Molinga Yekpe na wengine wengi TU ambao hawakuwa na quality ya kuchukua kombe ndio maana wakati huo tulikuwa tunapambana kupata fedha na ufadhiri kuliko kupata kombe SASA TUMEJIPATA KAZI MNAYO NA MTALIA SANA
 
Mafanikio mnayopigia kelele kuna timu ilichukua makombe karibu yote kwa misimu minne mfululizo mbona hata hajayafikia?

Hersi anapita kwenye script ya Barbra tu hana creativity yoyote.

Wanachokifanya Yanga kwa sasa ni hicho hicho walivyokuwa wakifanya Simba misimu sita iliyopita.
Mrudisheni Barbra na usisahau chini ya UCEO wa Barbra hakupata kombe lolote
 
Vilabu vya kariakoo makundi huwa yanaisha automatically tu timu ikiwa na hela na inafanya vizuri kwenye mashindano.
Simba hela IPO na makundi Kila Moja linaona mwenzake anafaidi mihela lundo iliyopo msimbazi kifupi hamtembezi bakuli kama ilivyokuwa kwetu ambapo hadi viongozi walikuwa wanajiuzuru kukwepa usumbufu
 
Simba kuna makundi yapi ?
 
Uko sahihi na ni kama umewaambia wengine wafanye Nini
Na pia GSM haikuanzia YANGA tu ,walianza na Maji Maji ya Songea ,wakaona lengo halitimii ndio kujiingiza Yanga,,huku wakiwa tayari wame study nn wafanye ktk Soka ,

Walivyoingia Yanga wote tunajua ,walimvuta Senzo awape njia ,wakawavuta la liga na kuwalipa nadhani ..sasa ni utekelezaji wa mipango na kuendeleza
 
Waliamua kujifunza badala ya kuongoza kiujanja ujanja wakifanikiwa kujenga uwanja na kuimarisha academy watakuwa wameweka legacy kubwa sana
Natamani sana kuona uwanja wa 20000 seats.
 
Na ndio yamekuwa maombi yetu ya mda mrefu kuona tunakuwa na viongozi wenye maono kama ya waanzilishi wa hizi team
Jamaa kaonesha anaitaka afrika Sasa anatumia nguvu na akili kuhakikisha Hilo linafanikiwa
Utulivu ndani ya club umekuwa mkubwa sana halafu Kuna yule jamaa pale technical director Walter Harrison hatajwi sana ila yuko vizuri sna
Walter Harrison ni Manager sio Technical Director (TD).
 
Mangungu ceremonial leader hao mpira pesa ni kina nani ?
Friends of Simba ni kina nani ?
Mkuu nakuelewa sana hata mimi pia najua Mangungu amepinduliwa ila watu wanataka hadi atoke kabisa ndio wafurahi
Magoli Chris n.k ni friends ambao wamepokwa au wanaelekea kupokwa u godfather pale msimbazi anyway kwa Sasa tumuangalie zaidi Rais aliyeleta mapinduzi katika soccer Eng Hersi Said
 
Waliamua kujifunza badala ya kuongoza kiujanja ujanja wakifanikiwa kujenga uwanja na kuimarisha academy watakuwa wameweka legacy kubwa sana
Natamani sana kuona uwanja wa 20000 seats.
Watafika maana ,biashara ya mpira, kwanza ,timu nzuri, wanachama wa uhakika, mauzo ya jezi na tiketi , uwanja ..sasa ukitazama utaona kuwa wako wapi..kumbuka wanachama sasa wanapitisha michango benki maana ake wanawaamisha mabenki kuwa tunaeza. Kopesheka
 
Akili [emoji119]hii ya bank ilikuwa karata muhimu
 
Back
Top Bottom