Engineer Hersi anafanya uongozi wa soccer uwe mgumu



Waende kitivo cha Engineering UD watafute fresh from school.
 
Eng Hersi ni scientist anafanya uongozi wake kwa mahesabu makali. In short jamaa anajua uongozi kuna scenario zinatokea Yanga unaogopa, mfano tukio la kuondoka kwa Bangala na Djuma Shaban nilijua kwa kiasi fulani Yanga ingeyumba ,lakini sasa hizo replacement ndo zimeifanya Yanga kuwa kali sana.
 
Umeona eeh , kwahiyo uwanja utajengwa hata kabla hajamaliza muda wake wa uongozi
Labda uwanja wa mazoezi tu, kwa serikali yetu ni jambo ambalo naliona gumu maana wapigaji wanataka wapige kupitia Simba na yanga ( BMT, TFF, DARFA, Bodi ya ligi, n k) wote hao wanazitegemea hizi timu kubwa za Kariakoo zicheze zijipigie pesa kupitia viwanja vya serikali.
 
Mkuu achana na Djuma na Bangala ambao hata wakija kwenye benchi hawakai kuna yule Prof wa fitness dah sikudhani kama tutapata mtu kama yule ila huyu wa Sasa ni mwisho maana team Ina physic hadi sio poa
 
Kwa Sasa hawana namna watakubali wao wabuni mashindano ya kucheza kwenye viwanja vyao halafu si watatumia Simba si ngoja tujenge bernabeu yetu
 
Simba ya Barbra ilifika fainali CAF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…