Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al Ahly labda hapa tuchukue point 3..Makundi ni point ila kwenye kundi letu lazima kuna kigogo tuchukue kwake point 4 ndio tutajihakikishia kwenda robo
Ndani ya muda mfupi Rais wa yanga ameset standard ambazo zinawasumbua sana viongozi wa vilabu vingine hasa Simba na Azam.
Vilabu hivi pinzani na mashabiki wao wanaamini kuwa chanzo Cha mafanikio ya yanga ni uongozi imara na udhamini madhubuti wa Sheik Mansoor (GSM) na hii ndio ukweli ulivyo.
Tangu engineer aanze kujihusisha na Yanga akisajili kupitia kwenye kochi hadi Sasa kwenye meza kubwa yanga imekuwa ikiimarika hatua kwa hatua kutoka kulitawala soccer la Tanzania Sasa inaelekea kulitawala soccer la Afrika.
Hii inafanya vilabu vingine viwaze tutampata wapi kiongozi kama huyu!?wakigeuka upande wanajikuta wako na popati na try nguvu zinawaishia
Umeona eeh , kwahiyo uwanja utajengwa hata kabla hajamaliza muda wake wa uongoziAkili [emoji119]hii ya bank ilikuwa karata muhimu
Bila kuichapa Al Ahly nafasi inakuwa finyuLakini si makundi tunaenda kwa point?
Labda uwanja wa mazoezi tu, kwa serikali yetu ni jambo ambalo naliona gumu maana wapigaji wanataka wapige kupitia Simba na yanga ( BMT, TFF, DARFA, Bodi ya ligi, n k) wote hao wanazitegemea hizi timu kubwa za Kariakoo zicheze zijipigie pesa kupitia viwanja vya serikali.Umeona eeh , kwahiyo uwanja utajengwa hata kabla hajamaliza muda wake wa uongozi
Mkuu achana na Djuma na Bangala ambao hata wakija kwenye benchi hawakai kuna yule Prof wa fitness dah sikudhani kama tutapata mtu kama yule ila huyu wa Sasa ni mwisho maana team Ina physic hadi sio poaEng Hersi ni scientist anafanya uongozi wake kwa mahesabu makali. In short jamaa anajua uongozi kuna scenario zinatokea Yanga unaogopa, mfano tukio la kuondoka kwa Bangala na Djuma Shaban nilijua kwa kiasi fulani Yanga ingeyumba ,lakini sasa hizo replacement ndo zimeifanya Yanga kuwa kali sana.
Kwa Sasa hawana namna watakubali wao wabuni mashindano ya kucheza kwenye viwanja vyao halafu si watatumia Simba si ngoja tujenge bernabeu yetuLabda uwanja wa mazoezi tu, kwa serikali yetu ni jambo ambalo naliona gumu maana wapigaji wanataka wapige kupitia Simba na yanga ( BMT, TFF, DARFA, Bodi ya ligi, n k) wote hao wanazitegemea hizi timu kubwa za Kariakoo zicheze zijipigie pesa kupitia viwanja vya serikali.
Simba ya Barbra ilifika fainali CAF?Mafanikio mnayopigia kelele kuna timu ilichukua makombe karibu yote kwa misimu minne mfululizo mbona hata hajayafikia?
Hersi anapita kwenye script ya Barbra tu hana creativity yoyote.
Wanachokifanya Yanga kwa sasa ni hicho hicho walivyokuwa wakifanya Simba misimu sita iliyopita.