Engineer Hersi anafanya uongozi wa soccer uwe mgumu

Jamaa anampa task nzito sana kajuna kwa Sasa yuko SA anavunga anasajili kule kumbe usajili halisi unafanyika Asec Kuna striker Yao inatua Jangwani ikiwafata jamaa zake ambao Sasa ni regular kwenye first 11
Kazini kwa Musonda Kuna kazi
Ila Yanga halisi ni Ile iliyocheza na Coastal union.... Ile ya Simba ya Doctor!
 
Sisi watu wazima.hainq haja ya kudanganyana.MAAGANO YALE
Kama coastal au sio ila Ile ni game mind hayo mambo yangekuwa yanawezekana watu wasingesajili na kulipa mishahara ya mamilioni
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Ila Yanga halisi ni Ile iliyocheza na Coastal union.... Ile ya Simba ya Doctor!
Ile iliyocheza na coastal ilikuwa imechoka sana ndio maana jamaa kaenda kutafuta benchi la uhakika ili kutoa nafasi ya wachezaji kuwa wanapumzika alijaribu na ihefu hataki kurudia kosa kamtuma Hersi aende kuleta vifaa vya January na mzunguko wa pili [emoji2772]×sasa ni [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hata mamelody wana kelele hvyo hvyo ila kila mwaka wanaishia njiani.
 
Hata mamelody wana kelele hvyo hvyo ila kila mwaka wanaishia njiani.
Hawahawa wanaocheza final Leo na mabingwa wa Cafcl 2016 ambao pia ni semi final wa Cafcl msimu ulioisha au Mamelody gani!?
 
Tuacheee ushabiki mpira nafikili engineer Hense anafaa kuwa raisi TFF
 
Uongozi wa Vilabu ili Uwe endelevu unatakiwa usitegemee uwezo wa MTU Bali mfumo uliotengenezwa.
Ahsante
 
INJINIA AKIINGIA TFF ANASHINDA MCHANA KWEUPE PE

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…