Engineer Hersi atolea ufafanuzi wa GSM kudhamini timu nyingi

Wahindi ni watu Bahir
 
Si sawa kusema Hersi amefafanua kile kinacholalamikiwa, kwani maelezo haya bado hayajafafanua. Na mfano aliotoa ni tofauti kabisa na ambacho kinalalamikiwa.

Isitoshe, hata yeye amhaye ni Rais tu wa Yanga kujaribu kulifafanua hili si sawa, kwa kiasi kikubws anayehusika na kufafanua hili ni Bodi ya Ligi au TFF yenyewe kwa ujumla.

Na ufafanuzi wake uwe wa kikanuni, sheria na uzoefu, kwani hili jambo ni nyeti na linaweza kuvuruga soka letu ikiwa wengine pia wataamua kufanya anachofanya GSM.

GSM kudhamini vilabu ni tofauti na kudhamini michuano. Udhamini mkuu wa timu ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu ya klabu ya kila siku kwani hulipia mahitaji yake.

Fikiria, mdhamini hulipia gharama za maandalizi ya mechi, mfano anaweza kuchelewesha fedha wakati hizo timu zikijiandaa kucheza mechi na Yanga, maandalizi yatafeli.

Na kwa hizo timu kufepi maandalizi ya mechi kubwa ni lazima matokeo yawe mabaya. Udhamini wa michuano au haki ya kurusha matangazo hauwezi kufanana na huu.

Hivyo, maelezo ya Hersi si sawa kuita ni ufafanuzi. Na nadhani hili suala aliache kwa TFF na Bodi ya Ligi kwani Yanga kwa mujibu wa lalamiko ni mnufaika na GSM ni mlalamikiwa.

Ova
 
Yanga mjiandae kwa vilio ikiondoka awamu fulani yenye mahusiano mazuri na kina fulani.
 
Maelezo Yako wazi na yanaeleweka ata ukijifanya humtaki kuelewa.
Kwanza lazima uelewe mdhamini haipangii klabu matumizi ya fedha kwakua izo fedha hatoi kama msaada, na yeye anapata faida kwa matangazo yake.


Klabu lazima iwe na budget yake ya msimu wa dhamini wanakuja kuondoa mapungufu.
Kitendo Cha mdhamini kupewa nafasi kwenye jezi ya timu husika ni malipo ya udhamini wake na hana uwezo wa kuwapangia Nini wafanye na fedha izo.
GSM Alisha ruhusiwa ku dhamini timu zote za NBC lakini Simba licha ya kuwa wao wangefaidika na udhamini uo wali kataaa...:
Simba watengeneze timu la si vyo wata endelea kulalamika Kila msimu.
 
Labda umedhani kuwa na bajeti ndiyo kuwa na pesa? Bajeti ni malengo au makadirio tu ya mahitaji na matumizi yako ili ufikie malengo uliyojiwekea kwa huo msimu.

Umeshawahi kusimamia timu yoyote ya michezo ya Tanzania ikiwa kwenye michuano? Ambayo inatakiwa kuwa ikitoka kituo A kwenda B, then kwenda C na kuendelea?

Kama hujawahi, kuanzia leo achana na huo muono wako kwa timu za Kitanzania kwenye suala zima la gharama na wadhamini wake. Jifunze kitu kipya.

Mdhamini, hakukabidhi mapesa yote ya thamani ya udhamini wake kwa mpigo, ila huwa anatoa kwa awamu na kulingana na mahitaji ya timu.

Ova
 
[emoji23]
 
Mimi mwenyewe nashangaa. Utetezi wanaotoa unawatia kitanzi wenyewe halafu hata hawashtuki.

Hivi hii kauli ya "Yanga bingwa" ametolewa na nani? Huyo mtu hawezi kuwa "biased" katika udhamini wake kwa timu zingine maana tayari kuna timu mojawapo anataka iwe bingwa?
 
hasiye
kuonga
hisichukue
kuzionga
zinaitaji
 
Hivi mmeshawahi kusikia Azam anaahidi timu yoyote ikicheza na yanga au Simba ikishinda inapata motisha fulani?
Tumeina Dodoma jiji, Prison kwa nyakati tofauti wakiahidiwa pesa wakicheza na Simba lakini hatujawahi kusikia timu hizo zikiahidiwa pesa zikicheza na yanga.
Hapo hakuna udhamini zaidi ya upangaji matokeo.
 
Kwan n GSM anaye ahidi??
 
Tusubiri Yesu arudi
 
Hersi atuambie kwanini mkataba wa TFF na GSM ni wa siri? wanaficha nini na TFF?

Haya maelezo marefu aliyotoa hapa ni usanii tu, kuwadanganya watoto wenzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…