Engineer Hersi atolea ufafanuzi wa GSM kudhamini timu nyingi

Swali fikirishi kwanini mo asidhamini timu hata 8, mfano hai wa hivi karibuni ambao wenye akili tu watauelewa ni huu Azam media ina idhamini Yanga kwenye NBC premier league hata shirikisho lakini cha ajabu Azam fc, huwa inafungwa na Yanga sc kama mtazamo huo ni sahihi basi kwenye ngao ya jamii Yanga sc ilitakiwa iogope kuifunga Azam fc kwa kujipendekeza kwa mdhamini lakini cha ajabu, Yanga sc 4-1 Azam fc
Wahindi ni watu Bahir
 
MDHAMINI MOJA KUDHAMINI TIMU ZAIDI YA MBILI.

[emoji871]Ok nipo hapa kufafanua swala hilo tunasikia minong'ono mingi badhi ya wanasoka kuhoji swala hilo kweli wana haki ya kuhoji huu ndo mpira kimaendeleo.

Kwanza tuanze mdhamini wetu wa matangazo ya runinga kurusha matangazo mpira wetu ni AZAM na huyu Azam ana timu ambayo ni AZAM FC na huyu huyu alidhamini kombe la AZAM FEDERATION CUP kombe la shirikisho hakuna hasiye tambua hilo, swali je kwa nini timu yake ya AZAM FC ilikua haichukui kombe hilo zinachukua wengine kama yeye AZAM ni baba wa kombe hilo kwa nini mtoto wake ana shindwa kubeba kombe hilo kama ni mgongano wa kimaslahi kuwa angeshindwa kuonga timu zinazo shiriki ili achiwe AZAM FC achukue hilo kombe, Pia huyu huyu Azam ni mdhamini wa matangazo kurusha mpira na kila timu zinalipwa na huyu Azam je kwa nini timu yake hisichukue ubingwa kuzionga timu ili Azam ishinde?

GSM ni mdhamini wa yanga, hizo timu zingine mnazosema zipo chini ya GSM zinalipwa mishara na GSM? yeye ana kauli kwa hizo timu? je anasajili yeye wachezaji wao? Tutambue GSM ni mdhani wa matangazo kwa maslahi yake kama alivyofanya AZAM kudhamini kombe la shirikisho na kurusha mpira kwa Tv wakati yeye ana timu ya AZAM FC.

Mpira wetu kwa levo tuliyofikia ligi ya 6 kwa ubora pamoja na wadhamini hawa hawa tumpongeze sana AZAM ndo chachu ya maendeleo wa mpira wetu kurusha matangazo na hizi timu zinaitaji pesa ndomana mpaka sasa kila club inauwezo wa kusajili wachezaji wa kigeni tofauti na zamani timu ambazo zilikua ninauwezo ni Simba, Yanga na Azam yote hayo timu zina pesa kutoka na wadhamini hawa hawa.

Ushauri wangu vilabu visajili wachezaji wenye uwezo mkumbwa kulingana na ubora wa ligi yetu alafu tukutane uwanjani maana mpira ni mchezo wa wazi, ukisajili wachezaji ambao hawaendani na club yako uwezo mdogo watakumbua na minong'ono hii haitaisha ndo kitakua kichaka tu cha kujificha kwao.[emoji871]View attachment 3077357
Si sawa kusema Hersi amefafanua kile kinacholalamikiwa, kwani maelezo haya bado hayajafafanua. Na mfano aliotoa ni tofauti kabisa na ambacho kinalalamikiwa.

Isitoshe, hata yeye amhaye ni Rais tu wa Yanga kujaribu kulifafanua hili si sawa, kwa kiasi kikubws anayehusika na kufafanua hili ni Bodi ya Ligi au TFF yenyewe kwa ujumla.

Na ufafanuzi wake uwe wa kikanuni, sheria na uzoefu, kwani hili jambo ni nyeti na linaweza kuvuruga soka letu ikiwa wengine pia wataamua kufanya anachofanya GSM.

GSM kudhamini vilabu ni tofauti na kudhamini michuano. Udhamini mkuu wa timu ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu ya klabu ya kila siku kwani hulipia mahitaji yake.

Fikiria, mdhamini hulipia gharama za maandalizi ya mechi, mfano anaweza kuchelewesha fedha wakati hizo timu zikijiandaa kucheza mechi na Yanga, maandalizi yatafeli.

Na kwa hizo timu kufepi maandalizi ya mechi kubwa ni lazima matokeo yawe mabaya. Udhamini wa michuano au haki ya kurusha matangazo hauwezi kufanana na huu.

Hivyo, maelezo ya Hersi si sawa kuita ni ufafanuzi. Na nadhani hili suala aliache kwa TFF na Bodi ya Ligi kwani Yanga kwa mujibu wa lalamiko ni mnufaika na GSM ni mlalamikiwa.

Ova
 
Yanga mjiandae kwa vilio ikiondoka awamu fulani yenye mahusiano mazuri na kina fulani.
 
Maelezo Yako wazi na yanaeleweka ata ukijifanya humtaki kuelewa.
Kwanza lazima uelewe mdhamini haipangii klabu matumizi ya fedha kwakua izo fedha hatoi kama msaada, na yeye anapata faida kwa matangazo yake.

Klabu lazima iwe na budget yake ya msimu wa dhamini wanakuja kuondoa mapungufu.
Kitendo Cha mdhamini kupewa nafasi kwenye jezi ya timu husika ni malipo ya udhamini wake na hana uwezo wa kuwapangia Nini wafanye na fedha izo.
GSM Alisha ruhusiwa ku dhamini timu zote za NBC lakini Simba licha ya kuwa wao wangefaidika na udhamini uo wali kataaa...:
Simba watengeneze timu la si vyo wata endelea kulalamika Kila msimu.
 
Labda umedhani kuwa na bajeti ndiyo kuwa na pesa? Bajeti ni malengo au makadirio tu ya mahitaji na matumizi yako ili ufikie malengo uliyojiwekea kwa huo msimu.

Umeshawahi kusimamia timu yoyote ya michezo ya Tanzania ikiwa kwenye michuano? Ambayo inatakiwa kuwa ikitoka kituo A kwenda B, then kwenda C na kuendelea?

Kama hujawahi, kuanzia leo achana na huo muono wako kwa timu za Kitanzania kwenye suala zima la gharama na wadhamini wake. Jifunze kitu kipya.

Mdhamini, hakukabidhi mapesa yote ya thamani ya udhamini wake kwa mpigo, ila huwa anatoa kwa awamu na kulingana na mahitaji ya timu.

Ova
 
Si sawa kusema Hersi amefafanua kile kinacholalamikiwa, kwani maelezo haya bado hayajafafanua. Na mfano aliotoa ni tofauti kabisa na ambacho kinalalamikiwa.

Isitoshe, hata yeye amhaye ni Rais tu wa Yanga kujaribu kulifafanua hili si sawa, kwa kiasi kikubws anayehusika na kufafanua hili ni Bodi ya Ligi au TFF yenyewe kwa ujumla.

Na ufafanuzi wake uwe wa kikanuni, sheria na uzoefu, kwani hili jambo ni nyeti na linaweza kuvuruga soka letu ikiwa wengine pia wataamua kufanya anachofanya GSM.

GSM kudhamini vilabu ni tofauti na kudhamini michuano. Udhamini mkuu wa timu ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu ya klabu ya kila siku kwani hulipia mahitaji yake.

Fikiria, mdhamini hulipia gharama za maandalizi ya mechi, mfano anaweza kuchelewesha fedha wakati hizo timu zikijiandaa kucheza mechi na Yanga, maandalizi yatafeli.

Na kwa hizo timu kufepi maandalizi ya mechi kubwa ni lazima matokeo yawe mabaya. Udhamini wa michuano au haki ya kurusha matangazo hauwezi kufanana na huu.

Hivyo, maelezo ya Hersi si sawa kuita ni ufafanuzi. Na nadhani hili suala aliache kwa TFF na Bodi ya Ligi kwani Yanga kwa mujibu wa lalamiko ni mnufaika na GSM ni mlalamikiwa.

Ova
[emoji23]
 
Mimi mwenyewe nashangaa. Utetezi wanaotoa unawatia kitanzi wenyewe halafu hata hawashtuki.

Hivi hii kauli ya "Yanga bingwa" ametolewa na nani? Huyo mtu hawezi kuwa "biased" katika udhamini wake kwa timu zingine maana tayari kuna timu mojawapo anataka iwe bingwa?
 
MDHAMINI MOJA KUDHAMINI TIMU ZAIDI YA MBILI.

[emoji871]Ok nipo hapa kufafanua swala hilo tunasikia minong'ono mingi badhi ya wanasoka kuhoji swala hilo kweli wana haki ya kuhoji huu ndo mpira kimaendeleo.

Kwanza tuanze mdhamini wetu wa matangazo ya runinga kurusha matangazo mpira wetu ni AZAM na huyu Azam ana timu ambayo ni AZAM FC na huyu huyu alidhamini kombe la AZAM FEDERATION CUP kombe la shirikisho hakuna hasiye tambua hilo, swali je kwa nini timu yake ya AZAM FC ilikua haichukui kombe hilo zinachukua wengine kama yeye AZAM ni baba wa kombe hilo kwa nini mtoto wake ana shindwa kubeba kombe hilo kama ni mgongano wa kimaslahi kuwa angeshindwa kuonga timu zinazo shiriki ili achiwe AZAM FC achukue hilo kombe, Pia huyu huyu Azam ni mdhamini wa matangazo kurusha mpira na kila timu zinalipwa na huyu Azam je kwa nini timu yake hisichukue ubingwa kuzionga timu ili Azam ishinde?

GSM ni mdhamini wa yanga, hizo timu zingine mnazosema zipo chini ya GSM zinalipwa mishara na GSM? yeye ana kauli kwa hizo timu? je anasajili yeye wachezaji wao? Tutambue GSM ni mdhani wa matangazo kwa maslahi yake kama alivyofanya AZAM kudhamini kombe la shirikisho na kurusha mpira kwa Tv wakati yeye ana timu ya AZAM FC.

Mpira wetu kwa levo tuliyofikia ligi ya 6 kwa ubora pamoja na wadhamini hawa hawa tumpongeze sana AZAM ndo chachu ya maendeleo wa mpira wetu kurusha matangazo na hizi timu zinaitaji pesa ndomana mpaka sasa kila club inauwezo wa kusajili wachezaji wa kigeni tofauti na zamani timu ambazo zilikua ninauwezo ni Simba, Yanga na Azam yote hayo timu zina pesa kutoka na wadhamini hawa hawa.

Ushauri wangu vilabu visajili wachezaji wenye uwezo mkumbwa kulingana na ubora wa ligi yetu alafu tukutane uwanjani maana mpira ni mchezo wa wazi, ukisajili wachezaji ambao hawaendani na club yako uwezo mdogo watakumbua na minong'ono hii haitaisha ndo kitakua kichaka tu cha kujificha kwao.[emoji871]View attachment 3077357
hasiye
kuonga
hisichukue
kuzionga
zinaitaji
 
Hivi mmeshawahi kusikia Azam anaahidi timu yoyote ikicheza na yanga au Simba ikishinda inapata motisha fulani?
Tumeina Dodoma jiji, Prison kwa nyakati tofauti wakiahidiwa pesa wakicheza na Simba lakini hatujawahi kusikia timu hizo zikiahidiwa pesa zikicheza na yanga.
Hapo hakuna udhamini zaidi ya upangaji matokeo.
 
Kwan n GSM anaye ahidi??
 
Hata alivyo fafanua hivyo bado walio wengi hawataelewa nimejifunza kwamba jamii zetu za kiafrika zina uwezo tofauti wa kuelewa walio wengi wana akili zilizofungwa, (closed minded), bila kuwasahau wanaojizima data, yaani wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi.
Tusubiri Yesu arudi
 
Hersi atuambie kwanini mkataba wa TFF na GSM ni wa siri? wanaficha nini na TFF?

Haya maelezo marefu aliyotoa hapa ni usanii tu, kuwadanganya watoto wenzie.
 
Back
Top Bottom