Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
MDHAMINI MOJA KUDHAMINI TIMU ZAIDI YA MBILI.
[emoji871]Ok nipo hapa kufafanua swala hilo tunasikia minong'ono mingi badhi ya wanasoka kuhoji swala hilo kweli wana haki ya kuhoji huu ndo mpira kimaendeleo.
Kwanza tuanze mdhamini wetu wa matangazo ya runinga kurusha matangazo mpira wetu ni AZAM na huyu Azam ana timu ambayo ni AZAM FC na huyu huyu alidhamini kombe la AZAM FEDERATION CUP kombe la shirikisho hakuna hasiye tambua hilo, swali je kwa nini timu yake ya AZAM FC ilikua haichukui kombe hilo zinachukua wengine kama yeye AZAM ni baba wa kombe hilo kwa nini mtoto wake ana shindwa kubeba kombe hilo kama ni mgongano wa kimaslahi kuwa angeshindwa kuonga timu zinazo shiriki ili achiwe AZAM FC achukue hilo kombe, Pia huyu huyu Azam ni mdhamini wa matangazo kurusha mpira na kila timu zinalipwa na huyu Azam je kwa nini timu yake hisichukue ubingwa kuzionga timu ili Azam ishinde?
GSM ni mdhamini wa yanga, hizo timu zingine mnazosema zipo chini ya GSM zinalipwa mishara na GSM? yeye ana kauli kwa hizo timu? je anasajili yeye wachezaji wao? Tutambue GSM ni mdhani wa matangazo kwa maslahi yake kama alivyofanya AZAM kudhamini kombe la shirikisho na kurusha mpira kwa Tv wakati yeye ana timu ya AZAM FC.
Mpira wetu kwa levo tuliyofikia ligi ya 6 kwa ubora pamoja na wadhamini hawa hawa tumpongeze sana AZAM ndo chachu ya maendeleo wa mpira wetu kurusha matangazo na hizi timu zinaitaji pesa ndomana mpaka sasa kila club inauwezo wa kusajili wachezaji wa kigeni tofauti na zamani timu ambazo zilikua ninauwezo ni Simba, Yanga na Azam yote hayo timu zina pesa kutoka na wadhamini hawa hawa.
Ushauri wangu vilabu visajili wachezaji wenye uwezo mkumbwa kulingana na ubora wa ligi yetu alafu tukutane uwanjani maana mpira ni mchezo wa wazi, ukisajili wachezaji ambao hawaendani na club yako uwezo mdogo watakumbua na minong'ono hii haitaisha ndo kitakua kichaka tu cha kujificha kwao.[emoji871]