changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Zikaleta faida gani hizo kambi zenu?Nongwa mmekuwa nazo sana labda kama zitakata msimu huu. Pekua nyuzi kibao za nongwa zenu dhidi ya kambi za Simba nje ya nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zikaleta faida gani hizo kambi zenu?Nongwa mmekuwa nazo sana labda kama zitakata msimu huu. Pekua nyuzi kibao za nongwa zenu dhidi ya kambi za Simba nje ya nchi.
Tusubiri tuone maana bado tuko kwenye malumbano. Unaweza kuwa msimu mwingine mgumu kwetuZikaleta faida gani hizo kambi zenu?
Kwahiyo mwendawazimu akiwa na hela tayari anakuwa ana akili? Mbona kuna mbwa Ulaya wana pesa kumzidi engineer Hersi, tuseme wana akili kumzidi Hersi?Yaani nguruwe wa humu mnamzidi injinia akili?
Achana na haoKwahiyo mwendawazimu akiwa na hela tayari anakuwa ana akili? Mbona kuna mbwa Ulaya wana pesa kumzidi engineer Hersi, tuseme wana akili kumzidi Hersi?
Sawa mke wa Eng.Hersi.Achana na hao
Anakuzidi akili wewe na pesa mpaka dhambi