Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Watu wenye akili na mipango ya soka ndio wanatakiwa kuwa hivyo, Yanga inaweza kucheza fainal ligi ya mabingwa kwa sababu viongozi wake wameshaimaliza ligi ya bongo, wamejua ligi ya bongo ni nyepesi sana.
Yanga ina mkuu wa idara ambaye kazi yake ni kuipeleleza na kuharibu mipango ya Simba yote, ina wakuu wa idara ambao wana kazi ya kucheza na TFF kuimarisha mahusiano, hiyo ndio mipango ya kijana engineer Hersi.
Sasa ameshamaliza ligi ya bongo amewaachia azam na timu nyingine wagombee nafasi ya 2.
Kesho anaiangalia mamelodi na wydad ambao anajua ndio levo yake, kila la heri engineer, umewaonyesha wajinga wajinga mpira unatakiwa uweje.