Unaweza kuongea taratibu na ukaeleweka ilmradi uwe na pointNafoka kama nyani au nabweka kama mbwa kufoka ndio zenu utopolo
Acheni ubaguziUnataka umuozeshe dada yako?
Kweli mkuu
Kuna boss mmoja wa timu flani anatamba eti walipata ofa ya dola laki 5 ya mchezaji anataka kununuliwa na wameikataaa sasa nikajiuliza kama umewekeza katika timu na hutaki kuuza wachezaji sasa faida unapata vipi?
Maana biashara ya mpira ni kununua wachezaji wenye vipaji kwa bei nafuu na kuuza kwa bei ya juu na ndo utaona hata Dortmund, Ajax wanafanya hivo.
Dj alikuwa sahihi kuwaita nyaniJeuri anayo fanya GSM kwenye mpira imewachanganya sana Mbumbumbu fc. GSM walishatoa angalizo Apo awali wakisema uwezo wa kusajili wachezaji daraja (A) kwa apa Afrika hawana Ila daraja (B) wanao na nimkweli wametimiza walicho sema. Upande wa pili wanapambana kusajili wakina Josh Onyango na wachezaji walio huru.
Kweli mkuu
Kuna boss mmoja wa timu flani anatamba eti walipata ofa ya dola laki 5 ya mchezaji anataka kununuliwa na wameikataaa sasa nikajiuliza kama umewekeza katika timu na hutaki kuuza wachezaji sasa faida unapata vipi?
Maana biashara ya mpira ni kununua wachezaji wenye vipaji kwa bei nafuu na kuuza kwa bei ya juu na ndo utaona hata Dortmund, Ajax wanafanya hivo.
Muongo huyo. Juzi alikiri mwenyewe kuwa alisema team nzuri hazisajili kumbe aliongea tu kuwapumbaza watu. Hakuna cha offer wala nini.Kweli mkuu
Kuna boss mmoja wa timu flani anatamba eti walipata ofa ya dola laki 5 ya mchezaji anataka kununuliwa na wameikataaa sasa nikajiuliza kama umewekeza katika timu na hutaki kuuza wachezaji sasa faida unapata vipi?
Maana biashara ya mpira ni kununua wachezaji wenye vipaji kwa bei nafuu na kuuza kwa bei ya juu na ndo utaona hata Dortmund, Ajax wanafanya hivo.
Alianzisha team iliyoitwa African Lyon. Ilijifia pamoja na utajiri wake. Simba na Yanga ni brandy kubwa sana hapa Tanzania.Watu wanataka brandy.
Ukitaka kuamini kwa utajiri wa Mo asingeshindwa kuanzisha team. Lakini ni ngumu kuutoa usimba na uyanga Tanzania. Nyuma ya pazia kwenye hizi team kuna manufaa makubwa kibiashara wananufaika hawa watu.
Sio Tanzania tu Africa mashariki na kati.Alianzisha team iliyoitwa African Lyon. Ilijifia pamoja na utajiri wake. Simba na Yanga ni brandy kubwa sana hapa Tanzania.
Huyo Boss unaemtaja ni Mo nilisikiliza ile interview nilimuelewa huwezi kuuza mchezaji tegemeo wakati unaenda kwenye Michuano ya kimataifa.
Mkuu 1.2B unaongelea ujue....Huyo Boss unaemtaja ni Mo nilisikiliza ile interview nilimuelewa huwezi kuuza mchezaji tegemeo wakati unaenda kwenye Michuano ya kimataifa.
Habari za saizi aise,
Naombeni kwa anajua vizuri CV ya huyu engineer atuambie
1. kazaliwa wapi na lini?
2. Anaasali ya Somalia /Eritrea au Ethiopia?
3.Yeye na mmiliki wa GSM (ghalibu said) wanaundugu?
4. Anacheo gani yanga?
5. Anachokifanya yanga ni moja ya jukumu lake au kiherehere chakee tu?
6. Je, ni muajiriwa GSM au ni moja ya wamiliki?
Professionally, Hersi ni Structural Engineer, na ni mwajiriwa wa GSM, na ni one from GSM's Top Management Team Members.Sijajibiwa jibu hata moja naona mnyukano umekuwa mkubwa
Mkuu 1.2B unaongelea ujue....
As vita walimuuza Makusu ambaye ni top stiker kabisa na wakiwa na mashindano.
Tp mazembe wamemuuza Muleka ambaye ni mchezaji tegemeo kabisa.
Lukaku man u alionekana garasa kaenda Inter kawapeleka hadi fainali ya ulaya mchezaji kufanya vibaya kuna sababu nyingi ikiwemo na mfumo wanaotumia timu ndio maana kuna makocha wa vilabu wanapoona mchezaji wao hafanyi vizuri kwenye timu ya klabu lakini ya taifa anafanya vizuri huwa wanafatilia huko anapofanya vizuri anachezeshwajeTp mazembe wamemuuza jackson muleka ulaya yule dogo aliempiga kanzu pascal wawa taifa. Dogo ana miaka 21 tu na alikuwa mshambuliaji tegemeo wa mazembe ila imekuja ofa wamemuuza
Na mwaka juzi tp mazembe ilimuuza mshambuliaji wake hatari Ben malango kwenda raja casablanca..
Biashara ya mpira ina faida kubwa sana katika kuuza wachezaji.. ndio maana hata timu kubwa africa zinaipenda biashara ya kuuza.. mmakonde miquissone bongo tunamuona bonge la mchezaji ila mamelodi sundown walimuona hana kiwango kwao wakamtoa kwa mkopo then wakamuuza kabisa
Lukaku man u alionekana garasa kaenda Inter kawapeleka hadi fainali ya ulaya mchezaji kufanya vibaya kuna sababu nyingi ikiwemo na mfumo wanaotumia timu ndio maana kuna makicha wa vilabu wanapoona mchezaji wao hafanyi vizuri kwenye timu ya klabu lakini ya taifa anafanya vizuri huwa wanafatilia huko anapofanya vizuri anachezeshwaje
Mpira unachezwa uwanjani ilikuwaje simba iliwatoa timu ya afrika kusini iliyokuwa na kipa aliyecheza world cup, ikawatoa zamalek waliokuwa mabingwa watetezi wa afrika, al ahly ya misri walifungwa taifa wakiwa na wachezaji wanaocheza kwa mkopo to EPLMamakonde alitolewa kwa mkopo mamelodi sababu kuna wachezaji wanaomzidi kiwango wengu.. niambia mchezaji gani wa ligi ya Tanzania timu zote anaweza akaanza katika first eleven ya mamelodi sundown, tp mazembe,waydad, raja, enyimba etc... Tanzania hatuna grade A player katika ligi yetu.. wageni wote waliojaa ni grade B player. Ndio maana tunawanunua kutoka gormahia, ud songo etc etc... ushawai ona mchezaji wa kutegemewa wa timu kubwa africa kama mazembe ama mamelodi ananunuliwa na timu ya Tanzania