Engineer Hersi Saidi ni nani haswa?

Engineer Hersi Saidi ni nani haswa?

Kweli mkuu
Kuna boss mmoja wa timu flani anatamba eti walipata ofa ya dola laki 5 ya mchezaji anataka kununuliwa na wameikataaa sasa nikajiuliza kama umewekeza katika timu na hutaki kuuza wachezaji sasa faida unapata vipi?
Maana biashara ya mpira ni kununua wachezaji wenye vipaji kwa bei nafuu na kuuza kwa bei ya juu na ndo utaona hata Dortmund, Ajax wanafanya hivo.

Huyo Boss unaemtaja ni Mo nilisikiliza ile interview nilimuelewa huwezi kuuza mchezaji tegemeo wakati unaenda kwenye Michuano ya kimataifa.
 
Jeuri anayo fanya GSM kwenye mpira imewachanganya sana Mbumbumbu fc. GSM walishatoa angalizo Apo awali wakisema uwezo wa kusajili wachezaji daraja (A) kwa apa Afrika hawana Ila daraja (B) wanao na nimkweli wametimiza walicho sema. Upande wa pili wanapambana kusajili wakina Josh Onyango na wachezaji walio huru.
Dj alikuwa sahihi kuwaita nyani
 
Mjadala ulianza vizuri kwa kujadili ombwe lililoo kwenye Soka Tanzania ...naona upotolo na mbumbumbu wameingiza na pumba zao!
 
Watu wanataka brandy.
Ukitaka kuamini kwa utajiri wa Mo asingeshindwa kuanzisha team. Lakini ni ngumu kuutoa usimba na uyanga Tanzania. Nyuma ya pazia kwenye hizi team kuna manufaa makubwa kibiashara wananufaika hawa watu.
 
Siasa tu zile upewe 1.2B ukatae
While waweza tafuta mchezaji mzuri kwa 300m..
Sasa mfano kimataifa ile beki ya wawa na onyango..
Kipa manula
Striker ilamfya na magulu???

Maana kagere na boko jua lishazama kimataifa.
Kweli mkuu
Kuna boss mmoja wa timu flani anatamba eti walipata ofa ya dola laki 5 ya mchezaji anataka kununuliwa na wameikataaa sasa nikajiuliza kama umewekeza katika timu na hutaki kuuza wachezaji sasa faida unapata vipi?
Maana biashara ya mpira ni kununua wachezaji wenye vipaji kwa bei nafuu na kuuza kwa bei ya juu na ndo utaona hata Dortmund, Ajax wanafanya hivo.
 
Kweli mkuu
Kuna boss mmoja wa timu flani anatamba eti walipata ofa ya dola laki 5 ya mchezaji anataka kununuliwa na wameikataaa sasa nikajiuliza kama umewekeza katika timu na hutaki kuuza wachezaji sasa faida unapata vipi?
Maana biashara ya mpira ni kununua wachezaji wenye vipaji kwa bei nafuu na kuuza kwa bei ya juu na ndo utaona hata Dortmund, Ajax wanafanya hivo.
Muongo huyo. Juzi alikiri mwenyewe kuwa alisema team nzuri hazisajili kumbe aliongea tu kuwapumbaza watu. Hakuna cha offer wala nini.
 
Watu wanataka brandy.
Ukitaka kuamini kwa utajiri wa Mo asingeshindwa kuanzisha team. Lakini ni ngumu kuutoa usimba na uyanga Tanzania. Nyuma ya pazia kwenye hizi team kuna manufaa makubwa kibiashara wananufaika hawa watu.
Alianzisha team iliyoitwa African Lyon. Ilijifia pamoja na utajiri wake. Simba na Yanga ni brandy kubwa sana hapa Tanzania.
 
Huyo Boss unaemtaja ni Mo nilisikiliza ile interview nilimuelewa huwezi kuuza mchezaji tegemeo wakati unaenda kwenye Michuano ya kimataifa.

Tp mazembe wamemuuza jackson muleka ulaya yule dogo aliempiga kanzu pascal wawa taifa. Dogo ana miaka 21 tu na alikuwa mshambuliaji tegemeo wa mazembe ila imekuja ofa wamemuuza

Na mwaka juzi tp mazembe ilimuuza mshambuliaji wake hatari Ben malango kwenda raja casablanca..

Biashara ya mpira ina faida kubwa sana katika kuuza wachezaji.. ndio maana hata timu kubwa africa zinaipenda biashara ya kuuza.. mmakonde miquissone bongo tunamuona bonge la mchezaji ila mamelodi sundown walimuona hana kiwango kwao wakamtoa kwa mkopo then wakamuuza kabisa
 
Huyo Boss unaemtaja ni Mo nilisikiliza ile interview nilimuelewa huwezi kuuza mchezaji tegemeo wakati unaenda kwenye Michuano ya kimataifa.
Mkuu 1.2B unaongelea ujue....
As vita walimuuza Makusu ambaye ni top stiker kabisa na wakiwa na mashindano.
Tp mazembe wamemuuza Muleka ambaye ni mchezaji tegemeo kabisa.
 
Ujanja ujanja ndo hulka ya watanzania,wapigaji wanachokifanya Simba na Yanga mashabiki awaoni tatizo kwa sababu mitazamo yetu inaendana na blabla wanazofanya viongozi wa hizi club.

Ukitaka uongozi wa Yanga udumu basi wa hakikishe kila wanapokutana na Simba washinde,na Simba pia ni hivyo.
 
Habari za saizi aise,

Naombeni kwa anajua vizuri CV ya huyu engineer atuambie

1. kazaliwa wapi na lini?

2. Anaasali ya Somalia /Eritrea au Ethiopia?

3.Yeye na mmiliki wa GSM (ghalibu said) wanaundugu?

4. Anacheo gani yanga?

5. Anachokifanya yanga ni moja ya jukumu lake au kiherehere chakee tu?

6. Je, ni muajiriwa GSM au ni moja ya wamiliki?
Sijajibiwa jibu hata moja naona mnyukano umekuwa mkubwa
Professionally, Hersi ni Structural Engineer, na ni mwajiriwa wa GSM, na ni one from GSM's Top Management Team Members.

Yupo GSM kwa miaka mingi tu na wala sio kwamba yupo pale kwa ajili ya Yanga kama wengine wanavyojaribu kumaanisha!

Anafahamika sasa kama ambavyo wengine wote inavyokuwa pindi wanapoingia kwenye sports industry! Na kufahamika kwake kunatokana na GSM kuonesha nia ya kununua hisa za Yanga kama alivyofanya Mo kwa Simba.

Na kwavile GSM hivi sasa wanahusika moja kwa moja na shughuli za Yanga, ndipo ulionekana umuhimu kama sio ulazima wa kuwepo mwakilishi wa GSM pale Yanga ambae kwa upande huo Hersi mwanzoni alichaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, na kwa sasa nadhani anahudumu kama Mwenyekiti (or Makamu) wa Kamati ya Usajiri ya Yanga na pia Mjumbe wa Kamati ya Mabadiliko ya Yanga... yaani from 100% Yanga Wanachama to Yanga owned by shares (kampuni).

Shahada yake ya structural engineering amechukulia DIT
 
Mkuu 1.2B unaongelea ujue....
As vita walimuuza Makusu ambaye ni top stiker kabisa na wakiwa na mashindano.
Tp mazembe wamemuuza Muleka ambaye ni mchezaji tegemeo kabisa.

Kwangu mimi na wewe 1.2 B ni nyingi sana ila kwake yeye Mo ni hela ambayo anaona ndogo kwa kuvunja malengo yake aliyojiwekea.
 
Tp mazembe wamemuuza jackson muleka ulaya yule dogo aliempiga kanzu pascal wawa taifa. Dogo ana miaka 21 tu na alikuwa mshambuliaji tegemeo wa mazembe ila imekuja ofa wamemuuza

Na mwaka juzi tp mazembe ilimuuza mshambuliaji wake hatari Ben malango kwenda raja casablanca..

Biashara ya mpira ina faida kubwa sana katika kuuza wachezaji.. ndio maana hata timu kubwa africa zinaipenda biashara ya kuuza.. mmakonde miquissone bongo tunamuona bonge la mchezaji ila mamelodi sundown walimuona hana kiwango kwao wakamtoa kwa mkopo then wakamuuza kabisa
Lukaku man u alionekana garasa kaenda Inter kawapeleka hadi fainali ya ulaya mchezaji kufanya vibaya kuna sababu nyingi ikiwemo na mfumo wanaotumia timu ndio maana kuna makocha wa vilabu wanapoona mchezaji wao hafanyi vizuri kwenye timu ya klabu lakini ya taifa anafanya vizuri huwa wanafatilia huko anapofanya vizuri anachezeshwaje
 
Lukaku man u alionekana garasa kaenda Inter kawapeleka hadi fainali ya ulaya mchezaji kufanya vibaya kuna sababu nyingi ikiwemo na mfumo wanaotumia timu ndio maana kuna makicha wa vilabu wanapoona mchezaji wao hafanyi vizuri kwenye timu ya klabu lakini ya taifa anafanya vizuri huwa wanafatilia huko anapofanya vizuri anachezeshwaje

Mamakonde alitolewa kwa mkopo mamelodi sababu kuna wachezaji wanaomzidi kiwango wengu.. niambia mchezaji gani wa ligi ya Tanzania timu zote anaweza akaanza katika first eleven ya mamelodi sundown, tp mazembe,waydad, raja, enyimba etc... Tanzania hatuna grade A player katika ligi yetu.. wageni wote waliojaa ni grade B player. Ndio maana tunawanunua kutoka gormahia, ud songo etc etc... ushawai ona mchezaji wa kutegemewa wa timu kubwa africa kama mazembe ama mamelodi ananunuliwa na timu ya Tanzania
 
Mpira unachezwa uwanjani ilikuwaje simba iliwatoa timu ya afrika kusini iliyokuwa na kipa aliyecheza world cup, ikawatoa zamalek waliokuwa mabingwa watetezi wa afrika, al ahly ya misri walifungwa taifa wakiwa na wachezaji wanaocheza kwa mkopo to EPL
 
Back
Top Bottom