shareef95nes
Senior Member
- Jan 16, 2013
- 108
- 16
natambua kama kuna careers nyingi za engineering,je, kati ya hizo nyingi ipi ni nzuri kwa hapa Tz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engineer Zote ni Nzuri na zote ni Mbaya.. Zote zinaweza kumtoa Mtu Na zote zinaweza kumuadhiri Mtu vilevile. Hakuna laini.
Ukitaka kusoma, kufurahia Na kuwa mhandisi unayeipenda Kazi yako Na Kazi inakupenda lazima utambue wazi Kwamba Uhandisi ni Kipaji. Ni kipaji anachoanza nacho Mtu tokea anazaliwa, anakua nacho Na kukitumikia. Masomo Na elimu anazo kutana nazo Kwenye makuzi yake huimarisha(sharpens) na Kukuza ufaham wa kile kipaji alichonacho.
Wale ambao hawana vipaji Na hujiunga Na fani nguli ya uhandisi ndio hao kila kukicha wanalialia, wanalalamika ugumu wa Kozi, wanaibia paper mwanzo-mwisho Na Bado supplement exams zinawafuata all study years Na wakibahatika kumaliza Kozi Basi wanaruka Na Gpa mbaya Na kuishia Kuuza mafuta Kwenye vituo au kufanya Kazi NJE ya fani zao. Maneno haya yanaweza kuwa chungu sana Kwa wahandisi wengi wanaosoma Na waliosoma but ndio UKWELI WA MAMBO. Tusiwahadae vijana wakakimbili fani watazozijutia, UHANDISI NI KIPAJI.
Kama wewe unadhani una kipaji Chochote mwenyezi Mungu amekujaalia, labda unapenda sana ufundi, au mzuri wa kuchora, una kipaji Cha Hesabu(hesabu SIO elimu ya kawaida ni kipaji), au una kakipaji kokote unakodhani kanatikana Na uasili wako Basi unaweza kuchagua kusomea hii kitu. Fani ya Uhandisi ni Pana sana inategemea Na unachodhani ni kipaji chako. Sasa siwezi kujua Asili ya kipaji chako nikakushauri. But awali kulikuwa Na Major 3 engineering Course Baadae zikawa Nne Leo ziko nyingi hapa naongelea ilivyokuwa Faculty of Engineering -UDSM, Baadae CoET (College of Engineering and Technology) ambapo ziko Fani Tele zenye walimu makini waliobobea Kwenye hii makitu. Sina bahati ya kujua sana habari Za vyou vingine.. Ni hayo yangu
1)civil engineeringnatambua kama kuna careers nyingi za engineering,je, kati ya hizo nyingi ipi ni nzuri kwa hapa Tz?

ha ha haa.. jaman mbav zang..wewe jamaa lazima utakuwa Muhaya tu!
POLITICAL ENGINEERING!
inalipa sana hii!
2015 sio mbali mkuu!
Habari ya mujini sasa hivi ni Chemical Engineering... Km ni mwenyeji wa Mtwara umeshanisoma!
.Petroleum Engineering ndio mpango mzima kwa Tanzania,Africa na Dunia ya sasa.Usichezee nafasi hii,make a better use of it!!!!