Engineering Geology Vs Agricultural Engineering

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Habari zenu wana Jamvi. Naomba kujuzwa ipi ni kozi nzuri zaidi ya nyingine kati ya hizo tajwa hapo juu.
Natanguliza shukrani zangu.
 
Habari zenu wana Jamvi. Naomba kujuzwa ipi ni kozi nzuri zaidi ya nyingine kati ya hizo tajwa hapo juu.
Natanguliza shukrani zangu.
Labda nikuulize... una malengo gani katika maisha yako?? ni kozi gani kati ya hizo unaipenda??
 
ingia engineering geology kaka...u will not regret..ipo fresh na kazi hazisumbui...geologists wanahitajka kwa wingi nchini kwetu kulingana na maliasili tulizonazo...
 
IPO udsm pekee hapa tz

Haiitwi engineering in geology mkuu acha kupotosha, udsm kuna coet ambapo kuna idara ya mining hapo utakuta course tatu za engineering yaan mining enginerring, mineral processing engineering na chemical pocessing engineering. Hakuna course inayoitwa engineering geology kuna course inaitwa Bsc in Geology
 
Ipo udsm c mbaya, ila nakushauri soma tu geology au petroleum geology, sijawah ona kaz za eng geology bongo, MB -one hii kozi ipo toka 2004 Udsm hawa jamaa wanasoma civil engineer na geology, usiconclude mkuu borabu Google au useme ur not shure
 
Last edited by a moderator:

mkuu labda nkujuze vizuri....kuna Bsc in geology,Bsc with geology,engineering geology na kuna nyingine wameanzsha mpya bsc in petroleum geology,na petroleum engineering.... zote zpo under geology department ...engineering geology wanashare masomo kule coet ya engineering..hope imeeleweka mkuu
 
Ipo udsm c mbaya, ila nakushauri soma tu geology au petroleum geology, sijawah ona kaz za eng geology bongo, MB -one hii kozi ipo toka 2004 Udsm hawa jamaa wanasoma civil engineer na geology, usiconclude mkuu borabu Google au useme ur not shure

asante mkuu. Vp kuhusu loan possibility ni kubwa au ni kama kozi zingine tu. Naulizia hizo ulizonishauri pamoja na hiyo eng geokogy
 
Last edited by a moderator:
Loan utapata , nikushauri kwa petroleum geology tena kuna sponsor hawa jamaa wa makampun ya mafuta, kwa mfano mwaka Jana wanafunz kum wa petroleum walipewa ufazili na swala, changamkia fursa kaka, hiki ni kipindi cha geology , c it tena,
 
Engineering geology in kozi ya geology ambayo lengo lake kuu ni kusaidia kutafsiri geology kwa ajili ya shughuli za ujenzi , uchimbaji madini( Open pits na underground mining) hapa tunaangalia (uimara wa kuta za migodi), kuangalia madhara ya majanga kama matetemeko ya ardhi(earthquake),maporomoko ya mawe (Landslide) , kudidimia kwa ardhi (subsidence) , uaimara wa mabwawa ya maji ( DAM stability) .

Engineering geology imeanza kufundishwa UDSM kuanzia muda mrefu tu ikiwa mojawapo ya kozi ya geology , lakini sasa ni kama kozi inayojitegemea.
Engineering geologist akiwa kama mtafsiri wa geology ,anatakiwa aijue geology vizuri ndipo aweze kutafsiri, lakini lazima ujue unatafsiri kwa ajili ya nini?kwa hiyo kuna pande mbili za engineering geology ,kwanza lazima usome kozi za geology uielewe na pili lazima uelewe engineering inakwendaje kwa hiyo utasoma kozi za civil engineering (muhimu ni Soil mechanics,material, foundation design,survey). kuna kozi moja ambayo ni muhimu kama Rock Mechanics zinafundwa kwenye idara ya geologia.
Kuhusu ajira- tangu kuanzishwa kwake kama kozi inayojitegemea, wanafunzi wameajiriwa sehemu tofauti tofauti, kuanzia kwenye makampuni ya mafuta hadi makampuni ya kuchimba madini, jiunge tu usiwe na wasiwasi na ajira.
Kwa kweli ni kozi nzuri ,itakayokupa changamoto kidogo ,lakini ndio kusoma huko.
 
Dogo kasome Engineering Geology usihofu kuhusu soko. Mimi nimesoma Geology and mineral exploration undergrad na PG nimesoma Tectonic Eng & Rock mechanics module nyingi tulikua tunashare na hao jamaa wa masters ya Eng Geology na niliporudi Bongo ilinifungulia milango sana kuliko jinsi Geology niliyokua nafanya mwanzoni. Hii inadeal zaidi na mambo ya earth ikihusiana na structural stability ya majengo katika mining sites. Na kama unavyojua migodi karibia yote Bongo by 2016 watakua wanafanya UG mining na wataalam wa design sio wengi kiivyo.
 
Asante mkuu.
 
ingia engineering geology kaka...u will not regret..ipo fresh na kazi hazisumbui...geologists wanahitajka kwa wingi nchini kwetu kulingana na maliasili tulizonazo...

mkuu hizo ni propaganda tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…