Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Habari zenu wana Jamvi. Naomba kujuzwa ipi ni kozi nzuri zaidi ya nyingine kati ya hizo tajwa hapo juu.
Natanguliza shukrani zangu.
Natanguliza shukrani zangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikuulize... una malengo gani katika maisha yako?? ni kozi gani kati ya hizo unaipenda??Habari zenu wana Jamvi. Naomba kujuzwa ipi ni kozi nzuri zaidi ya nyingine kati ya hizo tajwa hapo juu.
Natanguliza shukrani zangu.
Engineering Geology? Ya wapi hiyo?
Hata mimi ndo naisikia leo kwa mara ya kwanza
IPO udsm pekee hapa tz
Haiitwi engineering in geology mkuu acha kupotosha, udsm kuna coet ambapo kuna idara ya mining hapo utakuta course tatu za engineering yaan mining enginerring, mineral processing engineering na chemical pocessing engineering. Hakuna course inayoitwa engineering geology kuna course inaitwa Bsc in Geology
Ipo udsm c mbaya, ila nakushauri soma tu geology au petroleum geology, sijawah ona kaz za eng geology bongo, MB -one hii kozi ipo toka 2004 Udsm hawa jamaa wanasoma civil engineer na geology, usiconclude mkuu borabu Google au useme ur not shure
Loan utapata , nikushauri kwa petroleum geology tena kuna sponsor hawa jamaa wa makampun ya mafuta, kwa mfano mwaka Jana wanafunz kum wa petroleum walipewa ufazili na swala, changamkia fursa kaka, hiki ni kipindi cha geology , c it tena,
Dogo kasome Engineering Geology usihofu kuhusu soko. Mimi nimesoma Geology and mineral exploration undergrad na PG nimesoma Tectonic Eng & Rock mechanics module nyingi tulikua tunashare na hao jamaa wa masters ya Eng Geology na niliporudi Bongo ilinifungulia milango sana kuliko jinsi Geology niliyokua nafanya mwanzoni. Hii inadeal zaidi na mambo ya earth ikihusiana na structural stability ya majengo katika mining sites. Na kama unavyojua migodi karibia yote Bongo by 2016 watakua wanafanya UG mining na wataalam wa design sio wengi kiivyo.
ingia engineering geology kaka...u will not regret..ipo fresh na kazi hazisumbui...geologists wanahitajka kwa wingi nchini kwetu kulingana na maliasili tulizonazo...