Engineering ghali tokea duniani

Inabidi kwa sasa wafaulu kwanza kupeleka binadamu ISS na mwezini na kurudi kwanzs hapo ISS maana toka space shuttle imestaafu kwa kutokua salama kwa human mission imekua ni mtihani sana kwa NASA na sidhani kama hiyo 2024 wataweza kufika mars(human mission)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mars mission sio 2024 hiyo itakuwa Ni kwenda mwezini kwanza then ndo process za kwenda mars zitafuata.
 
Nafasi bado ni kubwa ya kujifunza yaliopo angani, kwa Afrika bado sana
Iv inakuaje apa kuna elimu inatolewa nchini namna nzima yakufanya exploration angani?
 
Naona wanasema ni.add....
Na mm ni+ kama ni ishu inayofanana na huu uzi
 
Hii ya CERN bado sijaelewa ni nini hadi leo
Mkuu maelezo yake ni tata sana mpaka uelewe sayansi kidogo ila kwa ufupi nadhani ni mradi unaotafuta chanzo Cha asili ya uhai kwa kuzungusha protons Mara mamilioni zaidi ya Kasi ya mwanga mengine wataelezea wajuvi wa mambo
 
ah...
hiv si ipo had leo?
Kama ipo maana yake kuna mwanga wamepata


Mkuu maelezo yake ni tata sana mpaka uelewe sayansi kidogo ila kwa ufupi nadhani ni mradi unaotafuta chanzo Cha asili ya uhai kwa kuzungusha protons Mara mamilioni zaidi ya Kasi ya mwanga mengine wataelezea wajuvi wa mambo
 
iyo CERN inachanganya sana kuielewa, embu wataalam chambuen huo mzigo the muudondoshe apa, about international space is so amaizing, kuna movie kadhaa wamejaribu kuelezea iyo mambo, au documentary, i like to learn staff like this.
 
Urefu wa piramidi zile kubwa zilizoko Misri, ni sawa na urefu wa jengo la ghorofa 42. Hivi sasa sisi hapa Dar jengo refu kuzidi yote lina ghorofa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…