Engineering ghali tokea duniani

Engineering ghali tokea duniani

Nitakula nawe sahani moja umegusa mambo nayoyapenda![emoji12]

Mkuu gharama za hizo vitu ziendazo huko juu ni kubwa si kifani hasa kusisafirisha it cost a lot ndio maana project ya kumpeleka Binadamu sayari ya mars ifanyikayo na NASA ukiachana na ya Elon musk,Ni kuwa wataanzia kwenye mwezi kisha watakuwa wanaunga chombo cha kwenda mars!.
Mabosi wa hizi kazi inaaminika watakuja kuwa na mipunga ya kutosha kama mambo yakienda [emoji106]

Napenda na ninashauku kubwa kuja kuona Binadamu akianzisha makazi nje ya sayari yetu!!
Naisubiri 2024 nione NASA akitia guu lake kwenye mwezi ukiwa Ni mwanzo mpya wa harakati za kwenda mars..

Corona tatizo anataka tibua mambo kenge kabisa [emoji23][emoji12]
Wasije wakapata kisingizio hawa.
Inabidi kwa sasa wafaulu kwanza kupeleka binadamu ISS na mwezini na kurudi kwanzs hapo ISS maana toka space shuttle imestaafu kwa kutokua salama kwa human mission imekua ni mtihani sana kwa NASA na sidhani kama hiyo 2024 wataweza kufika mars(human mission)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi kwa sasa wafaulu kwanza kupeleka binadamu ISS na mwezini na kurudi kwanzs hapo ISS maana toka space shuttle imestaafu kwa kutokua salama kwa human mission imekua ni mtihani sana kwa NASA na sidhani kama hiyo 2024 wataweza kufika mars(human mission)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mars mission sio 2024 hiyo itakuwa Ni kwenda mwezini kwanza then ndo process za kwenda mars zitafuata.
 
Nafasi bado ni kubwa ya kujifunza yaliopo angani, kwa Afrika bado sana
Iv inakuaje apa kuna elimu inatolewa nchini namna nzima yakufanya exploration angani?
 
Hii ya CERN bado sijaelewa ni nini hadi leo
Mkuu maelezo yake ni tata sana mpaka uelewe sayansi kidogo ila kwa ufupi nadhani ni mradi unaotafuta chanzo Cha asili ya uhai kwa kuzungusha protons Mara mamilioni zaidi ya Kasi ya mwanga mengine wataelezea wajuvi wa mambo
 
ah...
hiv si ipo had leo?
Kama ipo maana yake kuna mwanga wamepata


Mkuu maelezo yake ni tata sana mpaka uelewe sayansi kidogo ila kwa ufupi nadhani ni mradi unaotafuta chanzo Cha asili ya uhai kwa kuzungusha protons Mara mamilioni zaidi ya Kasi ya mwanga mengine wataelezea wajuvi wa mambo
 
iyo CERN inachanganya sana kuielewa, embu wataalam chambuen huo mzigo the muudondoshe apa, about international space is so amaizing, kuna movie kadhaa wamejaribu kuelezea iyo mambo, au documentary, i like to learn staff like this.
 
Usije sema labda inaweza kua pyramid mimi sizani
View attachment 1419959
Mimi hata siamini kua hii inaweza kua ghali sana!

Wengi mnaweza sema pyramid ilikua ghali sini kweli?

Labda kwa kuangalia nikwa kiasi gani zimesimama bila kupotea bila kutengenezwa mara kwa mara (services), au, kwa kuangalia kimtizamo kua zimejengwa na wajenzi almost watu 4000 ikiwa ni ndani ya miaka 20 mmmh!!!
Ambayo garama zakulitengeneza pyramid moja kwa sasa inaweza ku gharimu kama $5 billion za kimarekani labda!

Hapa akaulizwa mkufunzi wa sayansi zinazo ishi kwenye documentary bibi Natalie Wolchover kua
"je itagarimu kiasi gani cha fedha kwa sasa ili.kutengeneza pyramid ingine kwa sasa?"
Nakusema kua maybe sio zaidi ya $5 billion kwa ku assume kua labda
1, wajenzi walilipwa mshahara mdogo maana walikua ni watumwa wengi wao na wafungwa,
Hapa nikagundua kitu nilivyo iangalia ile documentary kua aah alisahau ongelea wale walio husika chora rabani nzima na pia labda mawe yakutengenezea yalikusanywa sehemu tofauti tofauti kuyafikisha site.

Basi kwa gharama izo na mimi nika assume kua mpaka pyramid linasimama basi kwa wakati ule lili komba kama $50 billion za kimarekani..🤔

Ila bado najiona sija guess vizuri maana ni hatari mno yale madude

Ivi kama ni wewe unaisi inaweza kua ime cost kama kiasi gani ??

Ila mimi nina uhakika engineering kubwa duniani ilikua ni ujenzi wa

"INTERNATIONAL SPACE STATION"
View attachment 1419980
Hii kitu ime cost $150 billions za kimarekani ikiwa ni kwa miaka 25 mpaka kutimia kwake!!???

Pia imepayiza rocket nyinge angani kwa kusafirisha vitu angani iki kwende iunga iwe kitu kimoja!

I station ni project ambayo ni endelevu maana inahitaji repair tofauti tofauti, kama mafuta like oil mbali na solar energy from sun ila inaitaji mafuta mengi kama yakulainishia ili chuma zisisuguane, pia inaitaji oxygen yakutosha kwa wale walio ndani waeze survive, mmmh!!

Kikubwa zaidi ili mpaka rocket ieze ruka kutoka duniani mpaka space station ilipo inagarimu constant kama $500 million zakimarekani🤔

Wengi wetu tumeshuhudia cost kubwa za chupa za maji ukiwa kwenye cinemas kubwa duniani asa embu waza chupa moja ya maji kwenye space station inaweza uzwa kiasi gani labda?

Inaweza kua labda $200k?
Au hata $2000k?

Embu toene alicho jibu mtaalamu wa anga bwana allson peter alipo ulizwa

"Je inacost kiasi gani cha garama kupata chupa moja ya maji kwenye space station??"

Nakuji kua

Kabla kurusha space station bila kukosea waliona iyo changamoto na kabla ijawa kosa walivumbua namna ambayo ikiwawezesha wao kukusanya moisture ya kila kitu ndani ya station inayo kaa kkwenye madirisha na sehemu ingine yoyote ndani ya station kwa kuifyonza nakui fanya kua maji safi salama kwa kunywa binadamu ndani ya station!!!

Pia


Mkojo, mkojo wa kiumbe chochote ndani ya station ikimaanisha mpaka panya wa maabara mkojo wao huchukuliwa na kuchujwa kisawa sawa na kufwanya maji safi na salama kwa kunywa!!!! Khee!
na tena mkojo huo uchunywa kwa asilimia 100% bila kukosea chochote

Na ivyo ndo namna ambayo wanazuia gharama ya kupata maji yakunywa ndani ya station!!.

Hi ni mimi lakini na wewe pia unaweza kua na yako labda usisite ishusha hapo kwenye comment

Lengo ni kujifunza,

Asante.

Inafwatwa uzi mwingine wa mambo ambayo ni yakustaajabisha kwenye universe yetu comment niku add
Urefu wa piramidi zile kubwa zilizoko Misri, ni sawa na urefu wa jengo la ghorofa 42. Hivi sasa sisi hapa Dar jengo refu kuzidi yote lina ghorofa ngapi?
 
Back
Top Bottom