Engineering ghali tokea duniani

CERN ni project ya kufanya majaribio ya " bing bang theory" . Wanasayansi wanaamini kuwa Dunia ilianza kutokana na hiyo dhana.
Ndo wametengeneza maabara kubwa ambayo inaunganisha baadhi ya nchi za ulaya. Wanataka wazungushe protons kwa kasi kubwa halafu zigongane. Waone kitatokea nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nadhan matokeo kma yapo ni baada ya mda mrefu sana
 
Hii kitu kwenye kitabu cha nimekisahau jina ila mwandishi wake ameandika leornard da vinc code
 
Dah hawa wanatafuta balaa sasa
 
Hata hivyo, kumbuka kitu kimoja kikubwa sana na pia cha kushangaza sana kuhusiana na mapiramidi,...., ni "earthquake proof". Hapo hapo yakiwa yamejengwa angalau miaka 2000 BC
 
Hata hivyo, kumbuka kitu kimoja kikubwa sana na pia cha kushangaza sana kuhusiana na mapiramidi,...., ni "earthquake proof". Hapo hapo yakiwa yamejengwa angalau miaka 2000 BC
Ila bado aigarimj kiwango cha space ship jua kwamba
 
Ila bado aigarimj kiwango cha space ship jua kwamba
Ni sawa, ila ukiangalia teknoloji iliyotumiika, mapiranidi yako juu muno, kwamba pamoja na teknoloji tuliyonayo leo, bado hatuwezi kutengeneza piramidi achilia mbali kuweza kujua tu namna zilivyoweza kutengenezwa, wakati zilijengwa maelfu ya miaka huko nyuma kabla ya kuzaliwa Kristo
 
Duh iyo ni balaa

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…