pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
...awa Murugu. [emoji1] Maombi yote ya watu wa Murang'aati awa fatha 😀
and when they are praying before a journey they always say how vehicles are "made using human hands"...awa Murugu. [emoji1] Maombi yote ya watu wa Murang'a
huwa yanaanza hivo. Alafu huwa wanapokezana kijiti ndani ya maombi na kila mmoja wao huwa anaomba kwa takriban dakika 45. [emoji23]
Wow! I use this road often but never realized how this thing looks from above. Where are those jokers who used to say they're building the first 3 tier interchange in East Africa? Well, here another one is 90% complete if kadoda wasn't convinced with the Pangani one.Yep, great stuff indeed, check out the interchange at JKIA-Rironi.
[emoji23][emoji23][emoji23] Aisee kumbe unawajua? Hiyo ni lazima! Alafu maombi yakiisha kila mtu anatulia kwa dakika tano zinazofata bila kuongea na wenzake. Meditation, Murang'a style. 😀and when they are praying before a journey they always say how vehicles are "made using human hands"
ha ha nyumbani ni Mt Kenya region, hizo tabia nazitambua sana kaka[emoji23][emoji23][emoji23] Aisee kumbe unawajua? Hiyo ni lazima! Alafu maombi yakiisha kila mtu anatulia kwa dakika tano zinazofata bila kuongea na wenzake. Meditation, Murang'a style. 😀
Wow. Hii ni Kenya? Tumeanza kufanana kama majuu. Great jobYep, great stuff indeed, check out the interchange at JKIA-Rironi.
Hamna kitu hapo kwenye video. Saa zingine ukishindwa kubali.😣😂😣😂Waziri Mkuu👇👇👇😂😂😂😂Roho inakuhuma but am very sorry sina jinsi..Maumivu ya kizidi muone dakitari😂😂😂
View attachment 940953View attachment 940954View attachment 940955
wah this looks out of this world,siamini hii ni kenya..Yep, great stuff indeed, check out the interchange at JKIA-Rironi.
hehehehehehehehehehehe hiisasa ndio nini kusema ukweli😣😂😣😂Waziri Mkuu👇👇👇😂😂😂😂Roho inakuhuma but am very sorry sina jinsi..Maumivu ya kizidi muone dakitari😂😂😂
View attachment 940953View attachment 940954View attachment 940955
This thing looks cheap..Yep, great stuff indeed, check out the interchange at JKIA-Rironi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]The title should be:
"Chinese deployed to begin preparations for JKIA to City bridge"
utakondoa macho mpaka yaninginie brathaThis thing looks cheap..
Does Tz even have highways??This thing looks cheap..
Hivi mnadhani Kenya imesimama?? Usimalize povu, kuna vitu hujaona badoThis thing looks cheap..
Ila hapo mmetupiga bao, msipate mibichwa mikubwa tu..Yep, great stuff indeed, check out the interchange at JKIA-Rironi.
msaada wa WB umegeuka kuwa pesa yetu ya ndani?.......Hivi umeambiwa ubungo interchange ime simama??[emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 940919Pia una habari kuwa express way ya Mbezi kueleke hadi Kibaha Chalinze imesha anza. Tena kwa pesa yetu yandani.[emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa na jumla ya 8 lanes jumla na kwenye makutano itakuwa na 10 lanes jumla.View attachment 940920
Kuna nyingine inaitwa Outer Ring road, very impressive. Hivi ni vitu vya kawaida sana jombaa. Ujenzi wa miundo mbinu ya aina hii unaendelea sehemu nyingi tofauti nchini Kenya.Ila hapo mmetupiga bao, msipate mibichwa mikubwa tu..
utakondoa macho mpaka yaninginie bratha
Does Tz even have highways??
Mbona mnatoa mapovu wakati nime ongea ukweli! [emoji23]Hivi mnadhani Kenya imesimama?? Usimalize povu, kuna vitu hujaona bado
Umeanza kelele mapema sana hata kabla interchange yenyewe haijakamilika. Itakuwaje ikishakamilika jombaa, si utameza sumu kwa hasira?Mbona mnatoa mapovu wakati nime ongea ukweli! <img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji23.png" />