Engineers deployed to begin preparations for JKIA to City bridge

Engineers deployed to begin preparations for JKIA to City bridge

Sawa.. ila hiyo kitu iko cheap sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usiumie sana jombaa, hayakuisha na Thika Highway kazi inaendelea Kenya. Miundo mbinu inazidi kuboreka kila uchao.
Cl0oxrbWYAA8BmT.jpg:large
 
Hahaha! [emoji1] Kali sana. Nasikia Thika Highway ilipoanza kutumika watu wa Murang'a wakija Nairobi walikuwa wanajikanganya hadi wanazima engine katikati ya barabara ili washiriki kwenye maombi kwanza. .... awa fatha, awa murugu nitwaoka mbere yaku.... [emoji1]
Wee hakungekalika humu!
Wengi walikuwa wanazaiwacha gari Thika na kupanda matatu hadi Nairobi.
 
south2.jpg
south1.jpg
south7.jpg
south6.jpg
thisdayes, kula kwa macho tukiendelea kungoja hii ya juu kwa juu kutoka JKIA hadi city. Hizo zote hapo zipo kwenye barabara ya Nairobi Southern Bypass.
Safi sana.. ila hivi vitu viko cheap! Ata wewe ukitizama unaona [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
JKIA Rironi is going well but i am not convinced that image is from the section
 
Back
Top Bottom