Engineers deployed to begin preparations for JKIA to City bridge

Wengi walikuwa wanazaiwacha gari Thika na kupanda matatu hadi Nairobi.
 
thisdayes, kula kwa macho tukiendelea kungoja hii ya juu kwa juu kutoka JKIA hadi city. Hizo zote hapo zipo kwenye barabara ya Nairobi Southern Bypass.
Safi sana.. ila hivi vitu viko cheap! Ata wewe ukitizama unaona [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
JKIA Rironi is going well but i am not convinced that image is from the section
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…