Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
COET napaheshimu, elimu pale ni ngumu ,sana
Is Bsc.Eng = BEng?
Hao waliokuwa wanakusimamia wakati uko field uliwauliza wamesomea wapi wakakuambia ni DIT???
Hv ni watu wangapi unaowafahamu ww kama Engineers vichwa nchi hii waliosoma DIT???
Shame on you,,show some respect to your superiors young boy!!!!
Bsc Eng sio sasa na Beng
Kiufupi DIT wanatoa technicians na sio ma Engineer hata kama wanapewa shahada.Technician popote ndo mtendaji halisi.Engineers are planners ana Administrator.Mfano mafundi umeme wengi wazuri,mafundi mitambo wazuri,waashi wazuri,mafundi kompyuta wazuri n.k sio ma-Engineer.Lakn haina maana kwamba wao ni zaidi ya ma Engineer, ni tofauti tu ya majukumu.Km sı TCU,wanafunzi wengi wa DIT ni wale waliopata Div 3 tena za 15-16 na hao walıoanza na Dip.
Unaandika vitu gani? Au hujamuelewa? Jiulize tu swali Dogo. Walimu bora katika Vyuo vyote bongo wapo chuo gani. Chuo gani kina higher number ya PhD holders wanafundisha full time? Fundi mshundo ni mshundo tu. mhandisi ni mhandisi.
Good call. Kiingereza chake ni shiiidahElimu haina mwisho, rekebisha kiingereza kwanza. Usichukie mpendwa, tunajifunza humu JF
ugumu wa elimu una husianaje na kutoa engineer mzur