Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

Hao waliokuwa wanakusimamia wakati uko field uliwauliza wamesomea wapi wakakuambia ni DIT???
Hv ni watu wangapi unaowafahamu ww kama Engineers vichwa nchi hii waliosoma DIT???
Shame on you,,show some respect to your superiors young boy!!!!

Sijakuelewa
 
Bsc Eng sio sasa na Beng

Unaandika vitu gani? Au hujamuelewa? Jiulize tu swali Dogo. Walimu bora katika Vyuo vyote bongo wapo chuo gani. Chuo gani kina higher number ya PhD holders wanafundisha full time? Fundi mshundo ni mshundo tu. mhandisi ni mhandisi.
 
Kiufupi DIT wanatoa technicians na sio ma Engineer hata kama wanapewa shahada.Technician popote ndo mtendaji halisi.Engineers are planners ana Administrator.Mfano mafundi umeme wengi wazuri,mafundi mitambo wazuri,waashi wazuri,mafundi kompyuta wazuri n.k sio ma-Engineer.Lakn haina maana kwamba wao ni zaidi ya ma Engineer, ni tofauti tu ya majukumu.Km sı TCU,wanafunzi wengi wa DIT ni wale waliopata Div 3 tena za 15-16 na hao walıoanza na Dip.

Unajua tofaut ya technician certificate,Beng na Bsc eng???
 
Unaandika vitu gani? Au hujamuelewa? Jiulize tu swali Dogo. Walimu bora katika Vyuo vyote bongo wapo chuo gani. Chuo gani kina higher number ya PhD holders wanafundisha full time? Fundi mshundo ni mshundo tu. mhandisi ni mhandisi.

Fundi mshundo ndo nin??
 
Inawezekana wengi mnaongea kishabiki but hamjui engineering ipoje
What engineers share n differ
So Sio ishu sana
Ila uwezo wa kupambanua field na kudesign ofisini ndio humfanya engineer kuwa katika ubora wake
 
Back
Top Bottom