Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

Zote ni degree udsm wanaita Bsc DIT & MUST wanaita Beng,kazini sidhani kama wanaangalia mtu umetoka chuo gani ila kinacho angaliwa ni uwezo wako wa kuelewa ulichokisoma mliokariri majina ya vyuo mjipange Maana ELIMU YA SASA NI USHINDANI.
 

Kwa taarifa yako, Nyie member wa DIT na MUSt ndo mnakariri. Hamjui vitu vinatoka wapi maana, mmeruka stage ya advanced ambayo humwandaa mwanafunzi, Kuwa na REASONING, Engineering is all about designing na ndo maana Bachelor of science in Engineering inamuandaa mwanafunzi kuwa designer mzuri. Hata kwenye work watu wa Technical college wanawategemea watu wa Udsm na similar case kudesign..
 
Nimesoma vyuo vyote kwa level mbili tofauti FTC enzi zile Dar tech, na Bsc pale PCET Udsm na nimebahatika kufanya kazi na wahitimu wote, nilichokiona UD wanajiamini sana kwenye mambo ya uongozi tofauti na DIT, DIT wanajiamini sana kwenye kazi za nguvu mno (Field work), UD wengi wazugaji,
 

Wewe ndie UMEKARIRI Kwa taarifa yako DIT & MUST sio kwa ajili ya waliosoma diploma tu hata waliofaulu form six wanachaguliwa na tcu kusoma vyuo hivyo,jitahidi mkuu ku UPDATE SERVER YAKO HUU WAKATI WA DIGITI(DIGITALI)
 
kitendoo tu cha kuwa engineer kinanitofautisha na technician kwa sabab engineer ni knowledge based na technician ni competence based so may be tofauti ipo kwenye malengo ya kozi husika inatoa wahitimu wa aina gan

acheni kuchanganya technician na engineer,,mtu akimaliza DIT diploma anakuwa technician(fundi mchundo),,akimaliza bachelor anakuwa engineer(mhandisi)..
 

unaongea unachokijua au???yaani engineer wa DIT amtegemee wa UDSM ku design kitu gani,wote wamefundishwa what matters is content and competence of one.
 
Wa UD ndio wanaowa simamia wa DIT na MUST, kwan wa UD ni designer wazuri ila sio kiutendaji ,
 

that true wengi wao walimiss elimu ya advance au hata kama walipita advance but walifeli ndo maana wakaenda mist, d.i.t Ikumbukwe naongelea miaka ya 2010 kurudi nyuma kabla ya d.i.t, must kuweza kutoa degree ambayo imepelekea form six freshers waliofaulu ku-apply through tcu for degree

SO KUHUSU UDSM KUILINGANISHA NA D.I.T,MUST TUACHE KAMA MIAKA 10 IPITE THEN NDO TUJE TULINGANISHE, BUT NOW UDSM(CoET) STILL THE BEST

onyO; sitaki malumbano
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndie UMEKARIRI Kwa taarifa yako DIT & MUST sio kwa ajili ya waliosoma diploma tu hata waliofaulu form six wanachaguliwa na tcu kusoma vyuo hivyo,jitahidi mkuu ku UPDATE SERVER YAKO HUU WAKATI WA DIGITI(DIGITALI)

Mkuu hii system ya kuchukua Form six kwenye chuo kama DIT ipo very selective na hivi karibuni ndo imekuwa dominated kwenye hivi vyuo, Form six niwachache ukilinganisha na hao Waliopitia diploma, We are talking about majority ya watu waliopo kwenye hivyo vyuo
 
unaongea unachokijua au???yaani engineer wa DIT amtegemee wa UDSM ku design kitu gani,wote wamefundishwa what matters is content and competence of one.

Ukweli unaonyesha Engineers kutoka udsm wako competent katika kazi yao ya kudesign.. Ndo maana hata mtoa maada aliyepo Must/Dit kahofia uwezo wake nakutaka kujilinganisha na watu wa Udsm,,Wakati kuna vyuo vingi vinavyotoa ma Engineers kama St joseph
 
Yap huo ndo ukweli uliopo, Ndo maana mtoa maada anaihofia Udsm.. Na pacha wake ARU
 
Last edited by a moderator:
Ukweli unaonyesha Engineers kutoka udsm wako competent katika kazi yao ya kudesign.. Ndo maana hata mtoa maada aliyepo Must/Dit kahofia uwezo wake nakutaka kujilinganisha na watu wa Udsm,,Wakati kuna vyuo vingi vinavyotoa ma Engineers kama St joseph

nani aliokwambia???wa ofisi gani??kampuni gani??uhandisi upi??ku design nini hasa??
 
Ukweli unaonyesha Engineers kutoka udsm wako competent katika kazi yao ya kudesign.. Ndo maana hata mtoa maada aliyepo Must/Dit kahofia uwezo wake nakutaka kujilinganisha na watu wa Udsm,,Wakati kuna vyuo vingi vinavyotoa ma Engineers kama St joseph

Bila Engineers wa DIT kusingekuwepo hata na hii JF ambayo ma engineer wa UDSM wanakuja kujipumzisha nayo.

Difficult Is our Target (DIT)
 

hivi kufeli ni kupata alama ngapi??,,nina ndugu zangu wapo UDSM;COET mwaka wa tatu sasa na wote walipata Division 3 advance,,,,
hivyo nataka nikuulize je hakuna Division 1 na 2 za advance D.I.T,,,,

Pia wanaoingia diploma pale sio mabogas,,kwa sababu kwa taarifa rasmi waliopata Govnment Scholarship ya Diploma wa kwanza ana A kwenye PCM na wa mwisho ana two,,,,

na kuhusu 2010 kurudi nyuma hauko sahihi,kuna njia za kusoma diploma ambazo ni
1.waliohitimu kidato cha nne kwa ufaulu mzuri(najua unaujua)-hawa hudhaminiwa masomo yao na serikali
2.kutoka veta na vyuo vitambuliwavyo na Nacte-huwa hujilipia
3.kutoka a-level,waliofeli-hawa hujilipia..
Bila shaka umeona hebu nifafanunulie sasa
 
Last edited by a moderator:
VETA = DIT = MUST

UDSM wanafanya nadharia based wakati hao ndugu wengine wapo ki-practical zaidi.

Hata kwenye ajira UDSM wana nafasi zao na hao wengine pia wana nafasi zao.
 

hebu jaribu kuelewa basi! Nimesema hivi kuanzia 2010
kurudi nyuma waliokuwa wanaenda dit,must ni wale waliomiss a'level au wamefeli a'level..! Najua kwamba wapo waliokuwa wanafadhliwa na serikali baada ya kufaulu form four ndo wapo kwenye kundi la waliomiss a'level
so kwa kuwa dit, must wameanza kutoa degree so baada ya miaka ..10 ndo ulinganishe na udsm bt nw udsm still the best
 

baada ya miaka 10,,wakati waliosoma DIT FTC kabla ya 92 wanabadilishiwa vyeti vyao vimekuwa degree sawa na ya UDSM bila kusahau ADE before 95 or 96 i guess,,
 
Usemi hu ni kweli waungwana

Inferiority Complex. Wengi waliosoma vyuo vipya hivi vyenye degree mpya za BENG wanaishi kwa kuogopa kivuli cha Bsc. Eng. Kuna utofauti mkubwa sana. UDSM iko juu. Ni hawa hawa wakiwa technicians walilazimika kujiita engs sasa leo wana hiyo degree ya miaka mitatu wanataka I-superceed Bsc. Eng. Inshort Bsc. Eng ni designers and best engineering managers wakati Beng ni advanced Technicians and so kazi yao ya KIMCHUNDO inabaki palepale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…