Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni mambo nyie! UDSM wako vizuri kwenye madaftari lakini kiutendaji ni---niii mlenda! DIT wako vizuri sana kwenye utendaji than UDSM! UDSM ukiwaambia 4X4 wanajua ni 16 lakini ukiwaambia jinsi 16 ilivyopatikana patachimbika ilan DIT watakuambia ni 16 na jinsi hiyo 16 ilivyopatikana! nimefanya field na watu wa degree wa UDSM kipindi mm nikiwa Diploma DIT at the same field lakini UDSM ikaonekana kama walikuwa mzigo sana! UDSM ni jina tu limewazidi ukubwa lakini wengi wao ni akina ACHIBA!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa taarifa yako, Nyie member wa DIT na MUSt ndo mnakariri. Hamjui vitu vinatoka wapi maana, mmeruka stage ya advanced ambayo humwandaa mwanafunzi, Kuwa na REASONING, Engineering is all about designing na ndo maana Bachelor of science in Engineering inamuandaa mwanafunzi kuwa designer mzuri. Hata kwenye work watu wa Technical college wanawategemea watu wa Udsm na similar case kudesign..
kitendoo tu cha kuwa engineer kinanitofautisha na technician kwa sabab engineer ni knowledge based na technician ni competence based so may be tofauti ipo kwenye malengo ya kozi husika inatoa wahitimu wa aina gan
Kwa taarifa yako, Nyie member wa DIT na MUSt ndo mnakariri. Hamjui vitu vinatoka wapi maana, mmeruka stage ya advanced ambayo humwandaa mwanafunzi, Kuwa na REASONING, Engineering is all about designing na ndo maana Bachelor of science in Engineering inamuandaa mwanafunzi kuwa designer mzuri. Hata kwenye work watu wa Technical college wanawategemea watu wa Udsm na similar case kudesign..
Kwa taarifa yako, Nyie member wa DIT na MUSt ndo mnakariri. Hamjui vitu vinatoka wapi maana, mmeruka stage ya advanced ambayo humwandaa mwanafunzi, Kuwa na REASONING, Engineering is all about designing na ndo maana Bachelor of science in Engineering inamuandaa mwanafunzi kuwa designer mzuri. Hata kwenye work watu wa Technical college wanawategemea watu wa Udsm na similar case kudesign..
Wewe ndie UMEKARIRI Kwa taarifa yako DIT & MUST sio kwa ajili ya waliosoma diploma tu hata waliofaulu form six wanachaguliwa na tcu kusoma vyuo hivyo,jitahidi mkuu ku UPDATE SERVER YAKO HUU WAKATI WA DIGITI(DIGITALI)
unaongea unachokijua au???yaani engineer wa DIT amtegemee wa UDSM ku design kitu gani,wote wamefundishwa what matters is content and competence of one.
Yap huo ndo ukweli uliopo, Ndo maana mtoa maada anaihofia Udsm.. Na pacha wake ARUthat true wengi wao walimiss elimu ya advance au hata kama walipita advance but walifeli ndo maana wakaenda mist, d.i.t Ikumbukwe naongelea miaka ya 2010 kurudi nyuma kabla ya d.i.t, must kuweza kutoa degree ambayo imepelekea form six freshers waliofaulu ku-apply through tcu for degree
SO KUHUSU UDSM KUILINGANISHA NA D.I.T,MUST TUACHE KAMA MIAKA 10 IPITE THEN NDO TUJE TULINGANISHE, BUT NOW UDSM(CoET) STILL THE BEST
onyO; sitaki malumbano
Ukweli unaonyesha Engineers kutoka udsm wako competent katika kazi yao ya kudesign.. Ndo maana hata mtoa maada aliyepo Must/Dit kahofia uwezo wake nakutaka kujilinganisha na watu wa Udsm,,Wakati kuna vyuo vingi vinavyotoa ma Engineers kama St joseph
acha kutudhalilisha ma engineer wa DIT ww
Ukweli unaonyesha Engineers kutoka udsm wako competent katika kazi yao ya kudesign.. Ndo maana hata mtoa maada aliyepo Must/Dit kahofia uwezo wake nakutaka kujilinganisha na watu wa Udsm,,Wakati kuna vyuo vingi vinavyotoa ma Engineers kama St joseph
that true wengi wao walimiss elimu ya advance au hata kama walipita advance but walifeli ndo maana wakaenda mist, d.i.t Ikumbukwe naongelea miaka ya 2010 kurudi nyuma kabla ya d.i.t, must kuweza kutoa degree ambayo imepelekea form six freshers waliofaulu ku-apply through tcu for degree
SO KUHUSU UDSM KUILINGANISHA NA D.I.T,MUST TUACHE KAMA MIAKA 10 IPITE THEN NDO TUJE TULINGANISHE, BUT NOW UDSM(CoET) STILL THE BEST
onyO; sitaki malumbano
hivi kufeli ni kupata alama ngapi??,,nina ndugu zangu wapo UDSM;COET mwaka wa tatu sasa na wote walipata Division 3 advance,,,,
hivyo nataka nikuulize je hakuna Division 1 na 2 za advance D.I.T,,,,
Pia wanaoingia diploma pale sio mabogas,,kwa sababu kwa taarifa rasmi waliopata Govnment Scholarship ya Diploma wa kwanza ana A kwenye PCM na wa mwisho ana two,,,,
na kuhusu 2010 kurudi nyuma hauko sahihi,kuna njia za kusoma diploma ambazo ni
1.waliohitimu kidato cha nne kwa ufaulu mzuri(najua unaujua)-hawa hudhaminiwa masomo yao na serikali
2.kutoka veta na vyuo vitambuliwavyo na Nacte-huwa hujilipia
3.kutoka a-level,waliofeli-hawa hujilipia..
Bila shaka umeona hebu nifafanunulie sasa
hebu jaribu kuelewa basi! Nimesema hivi kuanzia 2010
kurudi nyuma waliokuwa wanaenda dit,must ni wale waliomiss a'level au wamefeli a'level..! Najua kwamba wapo waliokuwa wanafadhliwa na serikali baada ya kufaulu form four ndo wapo kwenye kundi la waliomiss a'level
so kwa kuwa dit, must wameanza kutoa degree so baada ya miaka ..10 ndo ulinganishe na udsm bt nw udsm still the best
Usemi hu ni kweli waungwana