Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?


Weee ni kiazi sana. Unafahamu tofauti ya GIE na GE?? Unadhani kondoro kukubali hii ni kiazi?? KILAZA WE
 
India mfumo wao kama DIT..Ndio maana wanatesa kwenye engineering fields.
 

Da!!! Mwanangu umeoga kinyama. Fundi mchundo wana inferiority complex. Du!! Umemaliza. Acha wajidai tu. Wao walifunfishwa kutengeneza form work na sisi tuligundishwa kuyumia formwork. Hahahaaaaa eng ni eng tu
 
UDSM zamani..siku hizi MIJITU KIBAO INA DIV3..Mfano MPIGAMSULI
 
Kuna mada nyingine zinanifanya nikumbuke kuendelea kusoma kitabu cha mwandishi wa miaka ile wa Russia, Fyodor Dostoevsky, the Idiot.
 
Darius, eti waliomiss A level? Hujui ukisemacho. Yaani yale majembe ambao PCM tulifaulu sana tena division1 za points 7 na kuendekea tuliweka f6 kama chaguo la pili kwa kukwepa kukariri notisi za secondary. Itakumbukwa kuwa f6 ni advanced tu ya f4 siyo taaluma yenye ujuzi. Ni kupoteza muda tu. Kwa hiyo si kweli kuwa eti kwenda DIT au MUST,TCA ni kuwa mtu alikosa nafasi. Form6 na shule ya msingi hamna tofauti siyo kwa ugumu, la bali ni ujuzi, so watu ambao wako focused waliachana nayo, kwani walijua degree utapata tu.
 

hujanielewa mkuu! Hebu karudie tena kusoma comment yangu! Overr
 

Kaka ile F6 na 4yrs za UDSM ndo zinafanya degree iwe bora. Bsc. Eng ni bora kuliko BEng.
 
Kwanza sayansi nini, pili engineering ni nn? Ukijibu maswali haya bila ushabiki utapata jibu. Science imejikita kwenye utafiti na ugunduzi. Ila Engineering ni zao la sayansi yaani Engineering ni Applied Science. Ndo maana vyuo vingi kama Ujerumani na South Africa wanatumia BEng na siyo BSc Eng, kwa kutambua ukweli huo. So hata pale CoET, kuweka B of Sc in Eng ni by the way, hamna sayansi ifundishwayo zaidi ya hizi analytical methods za Engineering ambazo, Sir Isaac Newton, Watts, Pascal na wengine walishafanya.
 
Darius nimekusoma. DIT ni wazuri, CoET,MUST na TCA ni wazuri hasa huku makazin, yaya malumbano labda paper itungwe oxford state university halafu wapewe wanafunzi wa fourth year pale CoET na third year pale DIT/MUST. Vinginevyo ni kupoteza muda tu hapa.
 
dah hii maada kweli ni tamu sasa hebu tuhamie st joseph jamani kwa mtazamo wangu wanaosoma hapo wako fiti sana kuliko hata dit tena kile chuo kina displine ya hali ya juu so wako vizuri sana kenye civil na computer coz wanatumia mfumo wa india na kama unavyojua india ipo juu sana kwenye field ya engineering!
 
Ubora labda wa mdomoni na kelele, siyo uhalisia. Na ndo maana pale DIT ukitoka f6 unakuka miaka4, ukitoka FTC(kwa wakati ule, sasa ni Diploma) unapiga miaka3 tu kwa nn? So BSc Eng kwanza haipo kiuhalisia kwani hamna sayansi yyte ifanyikayo.
 
Ubora labda wa mdomoni na kelele, siyo uhalisia. Na ndo maana pale DIT ukitoka f6 unakuka miaka4, ukitoka FTC(kwa wakati ule, sasa ni Diploma) unapiga miaka3 tu kwa nn? So BSc Eng kwanza haipo kiuhalisia kwani hamna sayansi yyte ifanyikayo.

chaza umesoma na nkware wa nacte pamoja??
 
S/Joy f6 itasababishaje ubora wa BSc Eng dhidi ya B.Eng yenye FTC na Diploma? Kwa mfano, design manual za Steel,Timber na Reinforced Concrete structural design kwa third year FTC zinatumika na zina content ileile kwa third year degree pale CoET,halafu ndo useme F6 wanasababisha ubora wa Bsc dhid ya BEng wakat BEng ilishajengwa na utaalam wa FTC/Diploma, wakati f6 wakikarir physics. Tafuta sababu nyingine kaka Sorrow2 Joy, hiyo hapana. Hata mtaalam wa Foundation Engineering pale CoET Daktari Nyaoro hatakubali haya uyasemayo kaka.
 

huo wako ni uwendawazimu..zile st joseph wanaokwenda kule wote wAna div3 na 4..then eti ni bora kuliko udsm na DIT..we fikiria kwanza na chuo chenu cha kata kile..unafkir kukaa darasani masaa11 ndio ubora??
 
udsm wanatoa Bachelor of Science in engineering, wakati DIT ni bachelor of engineering. udsm ni designers, dit ni watendaji technicians. huwezi kuwalinganisha maana kazi zao ni tofauti.

sijakudhalilisha mkuu. mimi mwenyewe my huby ni engineer wa DIT. Ila huo ndio ukweli,just accept it.

The Flower ni kusema umevurugwa au umejivuruga mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:

ERB watakuita Graduate Incorporated Engineer (GIE) ukiwa na BEng wakati mimi mwenye BscEng wataniita Graduate Eng. The same kwenye Prefessional level BscEng ataitwa PEng (T) na wewe utaitwa PIEng (T). Utaratibu ulishawekwa hivyo so hata ukeshe humu kujibatiza kwa mahtaji yako ni nafsi yako itaridhika ila sokoni hutatambuliwa kama unavyojinadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…