Nihaomedia7
Member
- Jul 19, 2021
- 32
- 77
Wadau soon tu Kombe la Dunia linaenda kuanza,, je Nani atachukua? Kuna Wadau wanasema mshindi wa michuano ya EURO huwa wanafanyaga vizuri!! Well inawezekana, Euro ya mwaka juziii ule ufaransa alifika fainal, Portugal anachukua kibahati tu, kwenye Kombe la Dunia 2018 , France anachukua Ndoo, Euro ya 2020 Italy aliingia Fainal na England , Italy akachukua kibahati tu, Je ni zamu ya England kuchukua ubingwa? Vipi kuhusu mshindi wa kule America ?
U tabiri wangu
1. England
2. Brazili
3. Argentina
4. Portugal
Hapo Pana bingwa wa Qatari FIFA world cup 2022
MKEKA WAKO UNAMPA NANI MDAU?
CHEKI ZAIDI HAPA>> NANI ATASHINDA KOMBE LA DUNIA 2022