England atachukua Kombe la Dunia 2022?

England hushinda dhidi ya timu dhaifu

Wakikutana na timu yenye vipaji hulala na viatu
 
England awana uwezo wa kubeba ndoo.
ushindi wao wa kumbe la Dunia huwa ni promo tu,kwenye kuipromote timu yao ya taifa kombe la Dunia huwa awanaga mpinzani kwakweli.
 
Hakuna timu inayoogopeka kama Argentina kwa sasa...Lakini kuhusu kuchukua komve sijui
 
Portugal
 
Uingereza wachezaji wao hawana mentality ya kuwin kombe la dunia unless kama watumie mikakati tofauti wakati huu,ni kweli wanawachezaji wazuri sana na wenye vipaji vikubwa ila pia hata wapinzani wao pia wako hivyo nikichukulia mfano wa timu kama Brazil,Portugal na hata Argentina,tatizo la England ni media zao zinapenda sana kukuza vitu japo kiuhalisia hawana kitu Harry Maguire ni moja ya wachezaji wanaounda timu hiyo ila kwa kiwango chake sizani kama atamudu(huo ni moja ya mifano)
 
Kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…