England vs Croatia Sept 9, 2009

England vs Croatia Sept 9, 2009

Hii ni habari njema kwa wapenzi wa england....Asante kwa matokeo mkuu...

...ebana eeh, mimi na kaugonjwa ka kuwatakia mabaya England national teams, au team GB kwa lolote wanalofanya lakini bila wao kwenye EURO 2008, haka kakisiwa kalipooza sana.

World Cup bila wao ingekuwa soo boring hapa. Bora wamefaulu...

Argentina watafanikiwa wajemeni au? World Cup bila Brazil, Argentina, Germany, England, Italy, na France bado haijanoga!...
 
Haha wewe kama mimi hao England wangekaa home sawa tuu, France na Argentina vipi? Ila France nao siwazimii ata wasipoenda poa tuu.
 
Hao England wanacheza mpira mbovu halafu wanashinda
 
Back
Top Bottom