ENGLISH CLUB

ENGLISH CLUB

charity2017

Member
Joined
May 4, 2019
Posts
11
Reaction score
4
Ndugu zangu wanajamii foram na wasalimu salamu za kimakinika. Mimi charity. Ninapenda sana kujifunza, kujua na kukuza uwezo wangu katika kuzungumza na kutumia lugha ya kiingereza.

Nimatumaini na iamani yangu kwamba hapa jamii foram kuwa kunawatu wanajua vizuri lugha hii vizuri na nipo tayari kujifunza kwa yeyote ambaye atakuwa yupo tayari kunisaidia na kukuza uwezo wangu katika lugha hii.

Pia ninaona itakuwa poa sana kama tutaunda group letu la wasap kwa ajili ya kujifunza na kufundishana kiingereza.

Kama swala la kuunda group litakuwa powa naomba mnao jua vyema lugha hii mjiunge nasi kwani nafikiri tutakuwa tayari kujifunza na kushiriki mambo mbali mbali katika lugha hiyo ya malkia.

Ni ukweli lugha hii ni mtihani kwa watanzania wengi napenda group tutakapo unda kila jambo tushiriki kwa kiingereza ni iwapo kuna makosa turekebishane.

Pia naomba group liwe rasmi kwa ajili ya kufundishana tuu kiingereza.

Kadi tamati salamu.
 
Back
Top Bottom