Jiunge na duolingo.com, free language learning tool.
Ziada, soma articles kwenye english newspapers, at least 1 article per day, isiwe ndefu sana lakini cha msingi uweze kuielewa hiyo article vizuri kiasi cha kuweza kuitafsiri.
Chambua maneno manne katika hiyo article ambayo ni "magumu", angalia matumizi yake hapo na kwenye dictionary (nunua yenye kuonyesha matumuzi na sio tu tafsiri). Andika sentensi ukiyatumia hayo maneno.
Idea ya club hapa JF pia ni nzuri, unaweza kuanzisha na kuwa'alika watu kukusaidia katika kujifunza hiyo lugha, mfano, andika short article/story na waombe watu kuichambua.
All the best.