Well, that’s fine. Just don’t bank there.
But that’s the name. If you don’t like it, fine.
They can call themselves whatever they want.
I wouldn't bank there for so many other reasons apart from this, one that some may see as trivial.
Huu si ugonjwa, hii ni dalili ya ugonjwa mkubwa zaidi katika benki za kibongo.
Nakumbuka miaka michache iliyopita Charles Kimei wa CRDB alisema wazi kimsingi anamuogopa sana Magufuli. Yani alisema kwa namna ambayo si tu kiongozi wa benki hatakiwi kusema, bali pia namna ambayo ilimuondolea utu kabisa, yani kauli ambayo mwanamme kuisema inakuondolea uanaume wako mpaka watoto wa kihuni wanaweza kufikiri matusi.
Yani jamaa aliongea kwa total and unmitigated surrender mpaka aibu nikaona mimi.
CEO wa Benki huyo.
Nikaijadili ile kauli hapa, nikasema huyu ni star banker Tanzania. Kauli hii inaonesha Tanzania hakuna banking integrity.
CEO wa Benki kusema wazi anamuogopa Magufuli, maana yake ni kwamba siku Magufuli akiishiwa hela za kampeni na kumtaka CEO ampe hela za watu zilizowekwa benki ili afanyie kampeni, Kimei angekubali bila kupinga.
Nikasema benki kama hii siwezi kuweka hela yangu, kwa sababu haina uongozi thabiti.
Kwa hiyo kwa standard zangu za banking, benki nyingi tu za bongo zitashindwa kufikia standard.
Kuna kipindi mshua alitishia kutoa hela NBC azipeleke Citibank (Tanzania) kwa sababu NBC walishindwa kuweka faragha basic tu ya mteja, ikaja kuwa bonge la issue mpaka Prime Minister akaingilia kumpoza mshua aweke uzalendo mbele (zilikuwa fedha nyingi sana za umma, millions of USD).Akamfanyia heshima PM na kuziacha hela NBC.
Kwa hivyo benki za bongo zina matatizo mengi sana zaidi ya hili la jina tu.