English Grammar: Benki ya Posta Tanzania ni TPB Bank au TPBank? Ni sahihi kwa neno "bank" kutumika mara mbili?

Ni brand name kwa sasa,unaposema ni microfinance bank kwa level waliyopo Nmb kwa sasa ni sawa na kusema Mlimani City ni mini market. Na hapo ndipo haja ya rebranding huja.
Sasa mkuu, mbona NMB hawajaongeza neno Bank kwenye Logo yao ikawa NMB Bank?
 
Mwenyewe huwa najiuliza ni mtu gani aliandika ule upupu.!!?? Huwa nawapenda wa TRA, wameandika MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA REVENUE AUTHORITY.
 
Yani we jamaa unajua kweli, maana katika majibu yako yote hapa kama kuna mtu hajaelewa, huyo hataelewa hata apelekwe shule.
Halafu kwenye graphics design huwa tuna avoid unnecessary features kwa hiyo kwa case ya Nmb neno bank ni only important but not necessary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…